Ni wapi hapa Dar naweza kwenda kukaa tu na Laptop yangu bila kununua chochote?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wadau,

Leo mwenzenu sina ratiba kabisa. Nauliza kama hapa Dar kuna eneo mtu anaweza kwenda either na Laptop yake kwaajili ya ku buy time/hang around bila gharama yoyote kama vile kununua vinywaji, chakula au kubugudhiwa na wahudumu kwamba eneo hilo sio ofisi? inaweza kuwa ni Public Resting Area, Hall etc. (such places are common in Nairobi and in Europe).

Nawakilisha.
 
pia unaweza kwenda pale kwenye Garden mbele ya benki ya NBC posta pako vizuri,ila mchana kuna kijua,jioni pako vizuri na upepo wa bahari..
 
Hili ndiyo tatizo la dar nalo jiji eti! Hamna hata sehemu nzuri unaweza kwenda kupumzika yaani shida tupu kila sehemu uchafu na kipindi hik cha mvua ndyo usipime ukienda coco kuchafu juz kuna thread ililetwa hapa kuhusu bomba la maji machafu kupasuka pembezon mwa ufukwe wa coco beach, dar shida tupu labla ukakae pembezoni mwa barabara ukiwa na mwavuli wako
 
Njoo coco beach uku mapango me nipo upepo safi kabisa uwe na bando yako to usalama upo wakutosha akuna buguza yoyote karibu sana
 
KFC city center

ImageUploadedByJamiiForums1461912688.765887.jpg


Ndiyo hapa?
 
Back
Top Bottom