Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Waungwana,
Kwa Mwenye kujua mahali ninapoweza kupata kazi ya zamu ya usiku au yeye mwenyewe kuniajiri nitashukuru sana.
Kazi hiyo inaweza kuwa yoyote ingawa kwa uzoefu wangu industry ya Entertainment na Hospitality ndio huwa na nafasi nyingi za shift ya usiku.
Elimu yangu ni ya chuo ngazi ya Diploma upande wa fani za Media lakini ninachotaka ni kazi yoyote ya Night Shift hata kama nitakuwa Niko under-paid or over-qualified, point hapa ni kufanya kazi usiku na kulala mchana.
Please PM me for any highlights and I'll appreciate your generosity.
Asanteni.