AJALI ZA KUJITAKIA ZINAENDELEA KUTUMALIZA WATANZANIA!!
Wakati meli ilipopinduka ziwa Victoria miaka kumi na tano iliyopita, lawama za wananchi zilikuwa ni kuhusiana na wingi wa watu na wingi wa mizigo, dunia nzima ilisononeshwa na habari hizo, na wakati ilipokuwa inatokea ajali hiyo taifa letu...
Aliyeizoea bila shaka alikuwa haitaji tena kuinyonya wala kuilamba kwa sababu ameshafanya yote hayo hapo awali.Hivyo basi yule aliyekuwa anaimung'unya ndiye aliyeolewa kwani anajitahidi kuona kama itaisha kwa kuimungunya.
Aisee hiyo ni hatari kweli kweli....!!Hivi hii nchi na watu wake wajinga wanaelekea wapi na visa vya ajabu ajabu namna hii kila kukicha tunaskia jipya....Hali tete kwa kweli:sick:
Kwan wewe ulifikiri hiyo body language ina maanisha nini....?mbona unauliza jibu badala ya swali???Acha hizo wewe.....!!
Cha mtu mali kiache hivyo hivyo usije ukajifanya mwepesi sana wa kurukia vya watu.
Msiwe judgemental hivyo kwa kusikia rumors za upande mmoja wa story....pia mjiulize kwan nini hii kashfa imejotokeza hivi punde tu wakati anataka kugombea urais.
It all makes good sense with the timing of the story.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.