Kwanini wanawake wengi walioolewa baada ya muda hujisahau kuwajali waume zao, wakiachwa hujuta sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanawake wengi walioolewa baada ya muda hujisahau kuwajali waume zao, wakiachwa hujuta sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbava, May 19, 2011.

 1. Mbava

  Mbava Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri mazoea
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ungekuwa unamssaidia japo jukumu moja afta toka job do u thk angekuwa badop bze?

  we ukirud kazin mguu juuuuuuuuuuuu na magazet yote dunian yeye apke,amchek mtoto afanye nini sjui ..wat if ungekuwa beside her unashka iki na iki unazan lugha ya yuko bze ingekwepo?manake mpo wote kwenye pilka za home ....

  saidia mkeo kupunguza majukumu then utaona....
   
 3. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muu hapo unamaanisha nini?!!!
   
 4. t

  tambarare Senior Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanapashwa kuchukua madarasa ya ndoa---nchi nyingine wana mpango mzuri ya kum update mtu....... ukipewa ticket kwa makosa ya barabarani -darasa----divorce ------darasa na mengine mengi yanakumbusha wajibu wako katika jamiii
   
 5. Micado

  Micado Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haswa wanahitaji sana kukumbushwa.....!!!kujisahau na kubweteka ndo swala zima.
   
 6. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  bora waachike tu
   
Loading...