Mungu mkubwa! Ilikuwa tufe ajalini leo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu mkubwa! Ilikuwa tufe ajalini leo!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JoJiPoJi, May 19, 2011.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,465
  Likes Received: 1,413
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu leo ninasafiri kutoka Njombe, tumeanza safari vizuri bila hofu ndani ya basi la Lupelo, ila tulipofika Melela bila ujasiri wa dereva muda huu tungekuwa marehemu.
  Wakati gari yetu inashuka kwenye mlima ambao chini kuna daraja wnanchi wa eneo lile walirusha jiwe kwenye kioo cha mbele cha gari ili iangukie mtoni.
  Tunashukuru licha ya dereva kuumia lkn alifanikiwa kusimama bila kuangusha gari.
  Tumwfanikiwa kuwakamata hao watu kwa juhudi zetu, sasa tunawapeleka polisi morogoro. Abiria wote tupo
   
 2. c

  chetuntu R I P

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu Mungu amewasaidia. Wapelekeni hao wachukuliwe hatua za kisheria.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  DUh pole sana mkuu, hicho kijiji inaelekea wanaishi kwa wizi
   
 4. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,465
  Likes Received: 1,413
  Trophy Points: 280
  Polisi wanafika baada ya saa nzima, tulitamani tuwapige bahati wana siraha
   
 5. Micado

  Micado Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee hiyo ni hatari kweli kweli....!!Hivi hii nchi na watu wake wajinga wanaelekea wapi na visa vya ajabu ajabu namna hii kila kukicha tunaskia jipya....Hali tete kwa kweli:sick:
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hongereni kwa kuwakamata na poleni na mkasa huo, yani hiyo mijitu iko radhi kuuwa kikatili kwa tamaa ya mali, hatari sana (mlitakiwa mchukue sheria mkononi iwe fundisho kwa wengine, hii haivuniliki bana.
   
 7. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,465
  Likes Received: 1,413
  Trophy Points: 280
  Ila wamepigika sana, bado polisi nao si msaada wowote kwa raia, tumewapa taarifa wanafika eneo la tukio baada ya saa, halafu wamekuja na mabomu ya machozi, hatujawaelewa kwa kweli!!
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  niliwahi kusikia mahali kama umepata ajali bora utulie kama umekufa tofauti na hapo wanaweza kukumalizia ili wakupekue vizuri, sasa nimeanza kuamini hili linawezekana kwa hawa watu. wanastahili adhabu kali!
   
 9. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,465
  Likes Received: 1,413
  Trophy Points: 280
  Tumesha waacha polisi na kutoa maelezo, tunaendelea na safari, mtuombee tufike salama, maana safari kama imeshaingia mkosi
   
 10. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,465
  Likes Received: 1,413
  Trophy Points: 280
  Polisi Wametuomba msamaha kwa kuchelewa kufika eneo la tukio, Morogoro wanatatizo la mgomo wa daladala walikuwa wanashughulikia kulimaliza, ndio sababu ya wao kuja pia na mabomu ya machozi
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Poleni mkuu !
   
 12. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  JojiPoji na wote poleni sana, sasa nani atakuwa anfuatilia hiyo kesi yenu, ni ninyi au mwenye gari/basi?
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Poleni sana jamani.
   
 14. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,465
  Likes Received: 1,413
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo naona hakuna mtu wa kufuatilia tumewaachia polisi waendelee na taratibu zao za kuwashughulikia wahalifu!
   
 15. r

  rmambya Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Poleni sana wajameni,mwenyezi mungu awe nanyi.
   
 16. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona ujasema chochote kuhusu kuwapiga,ningetemea habari kama tumewapiga mmoja yuko mahututi,mwingine tumempiga na kumvunja miguu.kwani wao baada ya ajari wakikukuta salama wanakuua.
   
 17. M

  Marcossy A.M Verified User

  #17
  May 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  jOJI na wengine abiria wote nawapa pole sana... Mungu amewaona na kuwaponya na janga hilo.

  Kwa wenzangu wanaJF, naomba suala hili tulijadili kwa kina. Mkiacha kutumia jazba mtagundua kuwa hata hivi viajali na yale maajali (kulingana na rafudhi ya kwetu: Nghwadilllahh !!!) havitokei kwa sababu zilizowazi sana: zingine huanzishwa na jamaa zetu waishio karibu na barabara zetu na hata walio mbali nazo ambao hupanga uharifu kwa kisingizio cha ajali. Kwangu binafsi historia ni ndefu: nakumbuka nikiwa na askari mwenzangu (wakati ule wa JKT tulilazimika kufanya kazi ya ziada pale Mto Wami (Chalinze segera) kuokoa abiria waliokuwa na wakati mgumu kufuatia matairi manne kati ya sita ya Basi kupata pancha kwa wakati mmoja bila kujua kuwa tulitegewa misumari ili wenyeji wapate pa kuanzia. Pamoja na habari nyingi za namna hii kuwafikia wenzetu wa polisi naona hana kinachofanyika zaidi ya Dili za Leseni na ukaguzi wa magari ya RUSHWA!

  Kwa upande mwingine jamii imepigika vya kusambaratisha mfumo wa kawaida wa maisha na sasa polepole UNYAMA unaanza kuchukua nafasi..... Kuanzia Rushwa...Ufisadi...na Ushenzi unaofanana! Mpaka huu wa kuitana MACHOGO.

  KUMBUKENI ni heri kupigana kama RWANDA kwa kuwa utamtambua adui kuliko kupigana namna hii ya Melela!
   
 18. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Poleni sana ...

  Kijiji cha Melela ni "Black Sport" katika Barabara ya Dar-Mbeya-Songea..

  Wanakijiji wakati mwingine huwa wanamwaga mafuta barabarani kwa makusudi ili kusababisha ajali..

  Halafu pia ni sehemu ambayo kunauzwa/nunuliwa mafuta ya wizi kutoka kwenye Petroleum Tankers!
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  My God poleni sana
   
 20. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Poleni sana
  Mungu awafunike kwa damu yake mfike salama
   
Loading...