Ni rahisi madki kogoma kwann ni rahisi kushawishiana.hii ni sawasawa na na waathirika wa mafuriko wa Dar na Waathirika wa Moto Mbeya,wa Dar anasaidiwa haraka kutokana na media coverage kuliko wa mbeya lakin je ni sahihi???
si kweli kila mtumishi anastahili better pay.Madkt wakigoma wanaongezwa mshahara haraka kulingana nature ya kazi yao.Lakin je,ni sahihi serikali kuwasikiliza madaktari tu.Mwalimu mwenye Degree alipwe sawa na nesi mwenye cheti??ni sahihi
jibu hoja ya mleta mada,iweje madaktari walipwe mishahara mikubwa kuliko watumishi wengine wa umma?? wote tunanunua vyakula na mboga sehemu moja(madukani au sokoni) kwann wao ndo wanaoskilizwa??Kama wanataka ubunge waende wagombee
Dini wanayo usipotoshe ukweli,wanavaa suruali fupi,wamefuga ndevu nyingii kama makuhani na vilevile mida ya saa sita huwa wanaweka silaha chini wanafanya ibada.
Tanzania tayari wanamiliki Media(gazeti na radio)
Ishu ya Udini hata Julius Mtatiro(Mkristo) alitumia kuwadanganya Waislam Igunga eti CDM chama cha wakristo.Je,kwann na yeye asijiunge hukohuko??
Na ninyi Waislam acheni U-mamuma mtatumika mno. CCM mtaji wao ni mamuma.
wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii woooooooooooooooooooo wuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!Rais wa Tume pole,vijana wapelekwe JKT(Jiandae Kuwa Tahira) ili muwapumbaze washindwe kuhoji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.