Miaka50ya UHUNI
Member
- Oct 5, 2011
- 21
- 2
charity starts at hom,after all ndo waliokupa kura +NEC
Kabla ya wawekezaji wapya, anajuwa hawa waliopo nchini wanawasaidia ni wananchi wa TZ? Kama si mahesabu ya MEGAWATI lakini umeme hakuna?
hakuna ambako hajakaga mr.kikwete!hivi iceland ameshafika?
Napinga kila kitu kinachopingika........... Hata ikibidi kupinga jinsia yangu nitafanya hivyo so long as nina nguvu ya hoja ya kufanya hivyo. Nyie mnaokubali kila kitu kuna siku mtaombwa vinavyoshangaza mtavitoa kwa vile mnaogopa kupinga..............Unapinga kila kitu. Mwishowe utapinga hata jinsia yako.
...Msanii tu huyu anazungumza kisanii sanii tu. Ahadi yake ya kuibadilisha mikataba ya madini ameshindwa kuitekeleza kwa miaka sita sasa. Wakati wachukuaji wakichukua $1.5 billion ya dhahabu yetu kila mwaka siye tunaambulia $100 million kwa mwaka!!!! Halafu bado anataka wachukuaji waje watusaidie kupambana na umaskini!!!! Dah!....Eti naye ni Rais wa nchi huyu!!!! Na kauli zake hazifanani hata na mjumbe wa nyumba kumi kumi!!!!!
Kazikazi kwelikweli, Katika Afrika ni Tanzania pekee ambapo mwekezaji anakuja na proposal yake pamoja na jishi atakavyokuwa anawajibika katka uwekezaji wake, lakini mtaji na kila kitu anapata hapahapa, angalia makampuni kama ya uchimabji wa madini pamoja na hawa sasa wanajiita airtel ambavyo wanatukamua kwa mtaji wetu wenywewe, angalia jinsi NBC ilivyouzwa kwa bei ya kutupwa, angalia netgroup solutions ambavyo walikusanya madeni mpaka jeshini na wakakimbiza pesa kwao South Africa, bado unamtetea ******? kama Libya wamemchinja Gadafi kwa mazuri yote aliyofanya sijui sisi tutawafanya nini hao waliotufikisha hapa????Embu watanzania mbadirike na kua na roho za ku appreciate hata kwa kidogo anachofanya raisi wenu??? Yote yanafanywa kwa ajili yenu na nyie walalamikaji mmeifanyia nini nchi yenu...mwisho wa siku kila mtu na mzigo wake aisee jitumeni kwa uwezo na nguvu zenu muache kulalamika kila kona...tunaelewa kuna sehemu anapaswa alaumiwe lakini hata hili la kuongea na watu wa jumuiya ya madola mnaita usanii...yani kuongea tu tena point za ukweli kbs
Sasa mlitaka Rais asemeje? msimlalamikie Rais kwa kila jambo,fanyeni kazi kwa juhudi,sasa mtu unashinda Jamii forum kutwa nzima,unategemea unafuu wa maisha utoke wapi wakati watu sio wabunifu wanataka Kikwete awaletee hela majumbani,Pumbavu sana,Mzee wa watu anajitaidi sana kufanya kazi,laiti mngelijua usiku na mchana umaskini wetu unamuuma sana,ila kwa kuwa mnajua kuropoka tuu,Dunia yote sasa inamatatizo ya Uchumi,angalia Marekani,Angalia Uingereza,kote uchumi unapumulia mashine na kushuka kwa ajira,hii imetokana na mambo mengi hasa kupanda kwa mafuta katika soko la dunia,pia kuyyumba kwa uchumi wa taifa la Marekani mzalishaji na muuzaji mkuu wa bdhaa za nje imezorotesha uchumi wa ndani,nenda Uganda kaone hali ya uchumi,nenda Kenya ,Nenda Malawi,Nenda Msumbiji,acheni uzushi,fanyeni tathmini kisomi,Dunia yote inapita kipindi kigumu,wenzetu Uingereza Dola lenye uchumi imara na mkubwa wananchi wanaandamana hakuna ajira,leo mnataka Kikwete afanye nini zaidi ya juhudi alizofanya?
Sijawahi mskia kikwete akiongea kitu cha maana zaidi uongo wake na kujichekesha chekesha rafiki akina dhando. Bakhresa na wengineo wamesaidi nini zaidi ya kutolipa kodi na kuwanyanyasa wazawa?
Sijawahi mskia kikwete akiongea kitu cha maana zaidi uongo wake na kujichekesha chekesha rafiki akina dhando. Bakhresa na wengineo wamesaidi nini zaidi ya kutolipa kodi na kuwanyanyasa wazawa?