Recent content by Mheshimiwa3

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sikujua mapenzi yana nguvu namna hii, nahisi kufa kufa

    Anaonekana hana uhakika wa yupi anamfaa hivyo anashindwa kuchagua aolewe na yupi hivyo wewe unatakiwa ufanye maamuzi magumu vinginevyo ataendelea kuwachanganya hata akiolewa na yeyote kati yenu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya maisha: Ungefanya nini ikiwa umetambua bado miezi sita kuishi?

    Ningefanya kama Majimengi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

    Kama mlifunga ndoa ya kidini lishirikishe dhehebu lake kwa sababu hata shetani akitubu anakuwa malaika.
  4. M

    JamiiForums Tanzania I love u but i have no feeling with you

    M bake tu maana hukuna namna !
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ulivyomtongoza mkeo au mwenza wako

    Ni fedheha kwa mkeo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    Wewe ni wa kupima sio mzima
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    Nitumie number simu ya mumeo ili ufumbuzi upatikane, vinginevyo utaendelea
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimueleweje huyu mwanamke?

    Hakuna kitu hapo tafuta ustaarabu mwingine Kahama hadi Tanga na mizinguo yote hiyo na hiyo U - turn ya Dodoma, achana nae!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni mtangazaji gani wa Tv ama Radio anakuvutia?

    Regina mwalekwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

    Ni mahaba hayo wala sio vibaya anakuhamasisha ili usimchoke, yaani ukiona unavutiwa nae halafu unapiga kimoja kabla ya msosi !
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuheshimiane

    MMU maana yake ni nini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuheshimiane

    MMU ni nini?
Back
Top Bottom