barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Kanzu lazima upigwe! Hata huyo demu wako anajua ushawahi kupigwa kanzu na tobo!
Kanzu lazima upigwe! Hata huyo demu wako anajua ushawahi kupigwa kanzu na tobo!
Tulikua tunakunywa wine
Sasa Mkuu si mngekula tu pesa yake then mumpatie namba ya gari!
Wewe ni mfupi ? Lol
Unanifahamu mkuu
Hahaha Sijui kwanini akili hizi huja baadae.. Mtu akiku challenge manhood yako, 1st thing inakuja kichwani nikumpa knuckles Tu.Ulitakiwa kumwambia waiter arudi amwambie na yeye keshalipiwa alete namba yake
MMU maana yake ni nini?
Ulitakiwa kumwambia waiter arudi amwambie na yeye keshalipiwa alete namba yake
Walikuwa wana kunywa chai...Teh Teh..Okay, mlikua mnakunywa eagle?
Walikuwa wana kunywa chai...Teh Teh..
Za jioni wakuu
Mda huu baada ya kutoka viwanjani kwenye tsunami ya lowassa nilikua na mpenzi wangu mkali kweli sio utani ni mrembo balaa ana umbo zuri mno. Sasa tukapitia sehemu Fulani tupooze makoo yetu baada ya kumshangilia sana Lowassa wakuu tumeingia tuu macho yote ni kwetu si mnajua Mimi ni mtoto mdogo na yeye kanizidi (nilishawaelezea kwenye thread ya zamani). Tumepata vinywaji tumemaliza akaja waiter mmoja wa kike akamwambia kuna mwanaume kasema atalipia bili yetu tuendelee kunywa tu ila anaomba no za mpenz wangu. Wakuu my love akaninong'oneza. Nilipandwa na hasira yaan ilikua ninyanyuke ni mfate lakini nikatumia busara za Lowassa.
Nililipa bili tukasepa zetu Mbezi huku na hasira balaa. Yaani nipi nae nna hasira acha...
onyo Kwa wenye Tabia kama hizo tuache ni kudharauliana au?
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=860785