Wewe wa ajabu sana.
Kitu chenywe kimejificha unatklaupewe kirhisi hivo??
Embu acha kulia lia kimbilia hapo City boys Mpesa kamtumie kama 200,000 kwa ajili ya shopping ya pweza ukifika ukute supu tayari
Dogo hapo pakavu, nyota njema imeonekana asubuhi, kata, futa na empty recycle bin ili usiipate tena hiyo namba. Kama anakupenda asinge kuficha kwa dada yake, na ukiunganisha na hizi dots nyingine chapa lapa
Sa bro unataka mpaka akuambie mashine hii hapa, shona sasa dear wangu. Anataka ila anaona we ndo unazingua. Nenda Tanga ukale mnyama acha kushangaa utakuta mwana si wako washamchinja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.