Recent content by Mheshimiwa Mheshimiwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa lafikia Tzs trilioni 61.8

    Hamna nchi ambayo haina deni, nenda kaangalie deni la marekani uone balaa... hilo deni kulinganisha na mambo yanaofanyika ni level zetu! Kitu kingine ulitegemea zito aseme umasikini umepungua kweli?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dalilili hizi je, anaashiria nini?

    Na ww m block kama mwezi hivi Note...Usianzishe mahusiano mapya katika hiko kipindi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

    Vitu vingine tunawaonea tu wanawake, wewe ndio wa ajabu mzee kwanini umtongoze na una mke? Umemrubuni then unamuona wa ajabu ahaah
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

    Inaelekea Alishawahi kuumizwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

    Badala ya kuja kulala nae hadi usingizi umpitie ndio mumuhamishe nadhani angekuwa nae chumban kwake usingizi ukimpitia baba aje chumbani kwenu. Itaanza kumjengea mtoto kuwa kwanza natakiwa nilale huku na kukizoea chumba chake siku zinavyokwenda atazoea kulala mwenyewe tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnunuzi wa nyumba/ kiwanja usilazimishwe kulipa 10% Serikali za mitaa, haipo kisheria

    Na weye risiti ya EFD waainishe ni aina gani ya mauzo yamefanyika
  7. M

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Mgombea wa upinzani, Felix Tshisekedi ashinda Urais. Mgombea mwenza apinga matokeo hayo

    Yeah! Si unaona watu walivyofurahi kusikia eti mpinzani ndio ameshinda... Kumbe ni yale yale tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Mgombea wa upinzani, Felix Tshisekedi ashinda Urais. Mgombea mwenza apinga matokeo hayo

    Ndio aisee... Bado Congo hamna jipya! Si umeona speech ya felix baada kutangazwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Mgombea wa upinzani, Felix Tshisekedi ashinda Urais. Mgombea mwenza apinga matokeo hayo

    Ndio nilichomaanisha, watu hawaelewi wanachukulia mambo juu juu... Huu ni mpango wa kabila! Ila anaizuga dunia
  10. M

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Mgombea wa upinzani, Felix Tshisekedi ashinda Urais. Mgombea mwenza apinga matokeo hayo

    Watu wana akili sana, mpinzani mwenzake amepinga afu mgombea wa serikali amekaa kimya..!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa watafutaji wa kufa na kupona..!

    Yapi malengo yako kwa 2019 sema hapa tupeane hamasa ... Mimi binafsi nataka ninunue kiwanja na gari Mungu atusaidie tutimize malengo
Back
Top Bottom