Mi mwenyewe ungenishinda, Siwezi kuishi na ombaomba.Wakuu habari za ijumaa?
Naombeni msaada wenu Wa kimawazo please mapenzi yananipa wakati mgumu sana
Mpenzi wangu tumekua kwenye mahusiano takribani mwaka Wa tatu sasa!
Tulipatana mwaka tukiwa chuo
Alinihaidi atanioa kwakweli alinihaidi mambo mengi sana
Yeye alinitangulia kuhitimu chuo na Mimi nimehitimu mwaka mmoja baada ya yeye kuhitimu
Lakini sasahivi amekua hana muda na Mimi kabisa simu hanipigii anadai huko busy na kazi na wakati mwingine nikimpigia simu anaweka black list namba yangu
Nikimuuliza anadai huko busy
Kuna wakati nilimuomba anisaidie pesa kidogo kuna jambo nimekwama akakataa eti hana hela wakati anafanya kazi,
Alizima simu yake tangu mwezi Wa 11 mwaka Jana nikawa namtafuta simpati lakini nikipigia simu ndugu zake wanasema yupo na anaendelea na kazi
Juzi alinipigia simu na kuanza kunidanganya eti alikua nje ya nchi ndo maana alikua hapatikani
Naombeni ushauri huyu ananipenda kweli au ananichezea tu
Naumia sana kumpenda MTU asiyenithamini
Kwani kufanya kazi ndiyo kuwa na pesa??Wakuu habari za ijumaa?

Sio uchawiUchawi sipendi