Recent content by mHAMAS-shaji

  1. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    MAISHA YA DEPO SEASON-4 EPISODE 04 Hatukuweza kupumzika hata kidogo tukazisikia filimbi kwa mara nyingine zikituita tulilaani sana kwani tulikuwa tumechoka kutokana na dhahama tuliyokumbana nayo lakini pia tuliona muda umeenda hivyo tulikuwa na hesabu za kulala na kusubiri muda wa chakula cha...
  2. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    MAISHA YA DEPO SEASON-4 EPISODE 03 Alikuta mambo yapo kama yalivyotakiwa kuwa alitupongeza na kuteua wengine wasimamie kazi hiyo kisha sisi akaturuhusu kwenda kufuata chakula. Wale jamaa waliokuwa kwenye DOSO aliwaruhusu wakaamka na kuendelea na shughuli zao kisha tukaondoka naye na...
  3. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    MAISHA YA DEPO SEASON-4 EPISODE 02 “Haya hembu mmoja wenu ende jikoni pale akalete ndoo mkinge maji na nyie mliokwishakunywa maji muende mkapange FOLENI ya chakula kule” alituambia tukabaki tumetulia kumshangaa na akosekane mtu wa kwenda kufuata hiyo ndoo aliyoagiza. Afande alininyooshea...
  4. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    MAISHA YA DEPO SEASON-4 EPISODE 01 “Woyoo woyooooooooh! Wooooszaaaaaaaah! Bahobahobahooooh!” hili lilikuwa ni shangwe baada ya kuruhusiwa. Haikuwa ruhusa ya kwenda kula tu bali kwetu ilikuwa ni furaha ya uhuru baada ya kutoka kwenye kifungo cha INTRO. Yalikuwa ni mateso ya masaa kadhaa...
  5. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    PUBLIC ANNOUNCEMENT Hello, here to announce that, the continuation of our narrative "Maisha_ya_depo" will commence on first-day of next month. This means that in the first week of September 1st, which will be a Monday, there will be a series of episodes released from Maisha_ya_depo-4. Do you...
  6. mHAMAS-shaji

    Wanasheria wa Lissu tupeni tafsiri ya "kukinukisha vibaya sana" ili tujue tujiandae vipi?

    Ka vulata kwa kiswahili kizuri ni Kabeberu fulani hivi.... Hivyo basi kwa maelezo hayo ikitokea hajaelewa nahisi litakuwa  Jeku...
  7. mHAMAS-shaji

    Namna ‘connection’ ya Uwoya ilivyovuja!

    Amini kwamba tutaaminije kama kweli "kijana mfuta tatoo anaweza kufuta bila kuingiwa na tamaa"
  8. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    MAISHA YA DEPO SEASON-4 EPISODE 01 “Woyoo woyoooooooo:Agakakskagesh:ooooooooooooooo:ABDULpls:ooooooooooooo:BatChesting:oooooooooooo:Cheergi:ooooooooh” lilikuwa ni shangwe kutoka kwetu ama baada ya kuruhusiwa. Shangwe hilo lilikuwa ni ngumu kuepukika kwani ukiachana na njaa iliyokuwa...
  9. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    Challenge accepted.... 🤝 Let's see what we can do kabla haujapinduka
  10. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    Vp kaka yangu John dillinger ukiachana na huu ufunguzi wako wa code bado unaamini hii kambi ni hiyo uliyoifungulia code au umebadili gear angani
  11. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    Swahiba yangu Toofast tumekamilisha utambulisho wa camp vipi kwa ukiangalia maeneo yaliyotambulishwa bado unasimamia hiki ulichokisema? 😊
  12. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    MAISHA YA DEPO SEASON-3 EPISODE 18 Baada ya utambulisho wa ma-SIR MEJA walifuata ma-ODARI KOPLO wakaja makamanda akina Mochiwa, Kalaghe na wengineo mwisho wakamalizikia makarani na mwisho japo si kwa muhimu ila ni muhimu tukatambulishwa ma-ST ambapo muundo ulikamilika kwa mfumo huo. “Haya...
  13. mHAMAS-shaji

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Wakuu kumbe na leo mmebondwa Hongereni sana
  14. mHAMAS-shaji

    Maisha ya depo

    MAISHA YA DEPO SEASON-3 EPISODE 17 “Tukiachana na hilo naomba nitambulishe uongozi mtakao kuwa nao kwenye KOMBANIA zenu katika kipindi chote cha mafunzo”. “Uzuri nyinyi wote ni wasomi tofauti na wale wenzenu wa kujitolea ambao huwa tunaletewa wengine darasa la saba na wanakuwepo darasa la...
Back
Top Bottom