Recent content by Mh1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Barua fupi ya wazi Kwa Mh. Magufuli

    Makongo alisema ukweli kuwa kuna njaa karagwe akawekwa ndani kesho yake wakapeleka chakula
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mvua, njaa imeingia. Umesema serikali haina Shamba! Huu ni mtihani, Mungu hajaribiwi

    Nchi ya kijani unalia njaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania 'Majembe' yaliyowekwa benchi na mheshimiwa

    Masawe hamna kitu msaka tonge tu ndo maana mzee wa msoga nae alimpiga chini asubuhi tu. Alikuwa DC akapewa U-RC baada ya kusaidia kupokonya ubunge
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mwijage sio tu anastahili kutumbuliwa bali kushtakiwa

    Mwijage hana kitu bonge la conmedy
  5. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje Lowassa akiamua kurudi CCM?

    Una ndoto nzuri sana!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aliyefanya kazi chini ya kiwango tokea Uhuru wa Tanganyika

    Alianzisha shule za kata, ndiye aliyepeleka maji shinyanga baada ya vitisho vya misri. Mizengo Pinda alifanya nini zaidi ya kulia tu bungeni?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, kauli ya Kingunge kuwa CCM imeishiwa pumzi inaanza kueleweka?

    Kuhusu vyuo vikuu kukosa fedha usitie shaka maana vingi vitafungwa hivyo issue ya wengi kukosa mikopo itakuwa solved kama walivyoleta vigezo vipya vya mikopo au kuzuia ajira kwa kisingizio cha uhakiki watumishi hewa
  8. M

    JamiiForums Tanzania ‘Rais Magufuli ni zaidi ya Rais wa Nchi’ Tawire ‘Magufuli’ 4 Change’, tata nkulu

    Vipi michango ya maafa? Sio dili?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tanga alazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili

    Kurugenzi ya mawasiliano imekosa kazi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnaopanga kununua ndege kwa kulipa fedha taslimu pitieni hapa kabla hamjaendelea na mipango yenu

    Hiyo hapo juu inahusiana nini na tatizo lililoelezwa hapo juu. Tujadili hoja
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mlimuona Mwakyembe jana? Ana kipaji cha ajabu...

    Tungeweka juhudi katika usanii tukaachana na Michezo mingine maana hatuna vipaji upande huo ukweli tumesheheni vipaji kuanzia mwenyekiti wa mtaa hadi mkulu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais John Pombe Magufuli huyu Mungu unayetaka tukuombee kwake anakuona vizuri tu

    Tutaombea wangapi? Ajiombee mwenyewe sisi wenyewe tuna shida zetu nyingi utuongezee zigo lingine la kukuombea!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ni miujiza gani itatumiwa na Serikali iliyofilisika kupata milioni 50 kila Kijiji

    Hata millioni 50 kila wilaya ni ndoto achilia mbali kijiji
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuwanyima mikopo madaktari mwaka wa kwanza kwa kigezo cha kusoma private o level ni ubabaishaji

    Sirikali iko deki mbaya ndo maana kila kukicha wanatunga story mara uhakiki bado mara ajira tumalize uhakiki uhakiki wenyewe hauishi mara mikopo wananywea bia mara vigezo vipya mara viwango vya mikopo vishushwe porojo tu waliopata mikopo wenyewe kiuhalisia ni wachache sana kuliko idadi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CWT: Mkurugenzi wa jiji la Mwanza alipika takwimu za wanafunzi hewa na kufukuzisha walimu 62

    Wanasema mfalme anachotaka kusikia mchungaji msigwa alishasema tunajenga taifa la waoga na wanafiki imeanza kujitokeza angalia hata bodi ya mikopo wamefanya ambacho hawakuambiwa hii yote kujipendekeza
Back
Top Bottom