Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Ni ndoto kweli kweli! Sidhani kama ataota ndoto MCHANA!Situation jinsi ilivyo now tofauti na miezi mi tatu ya mwanzo ya mh so kadri siku zinavyoenda anaweza akawa na hiyo dream
Ni ndoto kweli kweli! Sidhani kama ataota ndoto MCHANA!Situation jinsi ilivyo now tofauti na miezi mi tatu ya mwanzo ya mh so kadri siku zinavyoenda anaweza akawa na hiyo dream
Najua tuko tofauti kifikira ila jaribu kujikita kwenye mada na mantiki yake kidogoMwanaume haoti MCHANA! Ni fedheha sana kwa mwanaume halisi kuota ndoto za kipumbavu MCHANA kweupeeee! Unategemea huyo MTU wako atagombea na kuwa Rais wa Nchi hii tena? Thubutuuuuu! Uwe na akili japo kidogo!!
Myopic thinking.Hili swali nimeenza kujiuliza miezi mitatu tangia Dr Magufuli aanze kuongoza, instincts zangu, style yake ya uongozi na uhusiano wake na wenzake ndani ya chama chao ndo mzizi mkuu wa swali.
Kwa mtazamo wangu wanaCCM halisi wanatambuana kwahiyo usitarajie atokee mtu ambaye ataji brand kama malaika awe ndo kiongozi wao ,ni suala la muda tu hii dhana itajidhihirisha . Hapa ndo moja ya hoja ambayo wanaomtabiria JPM ni one term president mbali na kusiriba demokrasia na katiba.
Wengi wao hawataafiki mkuu apewe tena nafasi is going to face a very strong opposition mbaya zaidi na watu wa ndani yake (insiders).Lakini hadi sasa hivi ndani ya chama hajatokea mtu ambaye ana nguvu za ushawishi wa kuziunganisha rangi halisi za CCM wengi wao wamejawa na uoga.
Kufuatia logic hii hapo juu ni wakati sasa Lowasa anahitajika zaidi CCM kuliko muda wowote they need a unifying figure na atapata support kubwa sana kuliko yeyote yule aliyewahi kuwa mwaCCM, na hii ndo itakua ticket ya ku justify kuangushwa kwa Hon president kwa lugha nyingine kigezo kilichotumika kumuangusha EL 2015 i.e kiongozi anayependwa na wanachama wengi kitatumika kumpata mwakilishi wao 2020 (hili halihitaji sana akili kutambua).
Kwa maoni yangu Hon atapata mshtuko mkubwa sana siku akisikia EL anarudi CCM na CCM itatoka kwenye ombwi la ukandamizaji wa "demokrasia yao"
Hii maana yake nini EL ataibuka kuwa kiongozi wa kwanza ambaye atapendwa upinzani na chama tawala (atapata popularity kubwa sans ikiwezekana hata baadhi ya vyama vitapata damage za kudumu)
Kama hayo hapo niliyoyaelekeza juu hayatatokea CCM itarajie exodus kubwa ya mapapa wake kuelekea upinzani mwaka 2020 na kama nguvu ile ya kidemokrasia za Africa (manipulations of general election results ) haitafanyika upinzani watachukua rasmi nchi 2020 ikiwa tu kama ataendelea na style yake ya leadership,sauti na matakwa ya watu na roles za civil society zitapuuzwa, viwanda havitajengwa,failures za uchumi hautarekebishwa,ukosefu wa ajira na bado akahitaji aongoze tena.
Mantiki gani hapo zaidi ya Ulofa na mahaba ya kijinga?Najua tuko tofauti kifikira ila jaribu kujikita kwenye mada na mantiki yake kidogo
Inawezekana ametumwa na Mzee kupima upepo ili "Akatwe mkia"!Ni vizuri ukiwa na ndoto ya maisha lakini ukiongozwa na matamanio ya nafsi ni hatari kwa maisha yako
Haingii akilini kusema Lowassa atarudi ccm,nani atampokea?huyo ni wenu mnalo hilo zigo la misumari,halafu usisahau kua Magufuli ndio mwenyekiti wa CCM na anadhibiti chama kwa 100%
Kungekuwa na demokrasia ndani ya Chadema Lowasa asingepewa nafasi ya kugombea urais. Dr. Slaa asingedharaulika na kutukanwa na Chadema, maana yeye ndiye aliyeifanya Chadema iwe na kiki.Mkuu mimi na wewe ni mashahidi kungekua na demokrasia ndani ya chama Magu kwenye uenyekiti angeangukia pua
Yaani ng'ombe aliyekatwa mkia apewe uongozi wa zizi? Acha masikhara wewe? Kama umetumwa kutest upepo, mwambie bado unavuma vibaya!Huwezi amini; mimi sio mtabiri wala mganga wa kienyeji, natumia dalili zinaoonekana wazi kwa werevu wa mambo. muda mchache kabla ya mwaka 2020, ambao ni mwaka wa kinyang'anyiro cha uchaguzi itatokea kuhama kwa vigogo wakubwa wa siasa nchini na kuhamia chama tawala CCM, kama si kuhama basi lile kundi lillilohama...likiongozwa na mkubwa wao litarudi kundini mara baada ya mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano baina ya marafiki wawili. Upande wa upinzani utakua na siasa za mtu mmoja mmoja, hawatafanya kazi kama timu tena, watavurugana na kila mtu atakwenda kutetea nafasi ya ubunge, hawatakua na presidential material, waliomuandaa atakua amewatupa mkono. Jamaa yule atarudishwa kuokoa jahazi upande wa pili kwa kuwa kinachoendelea kwenye nyumba yetu hatukukitarajia, tunapiga hatua za haraka RETROkurejea.... hapo kutatokea tafrani kamati kuu ya chama baada ya jamaa yule kutaka amalizie na jamaa yule aliyerejea kundini au aliyerejeshwa kutaka kuingia akasawazishe palipoharibika, hapa itakuwa balaa kubwa ila kwakua mtandao ni imara na wanakamati watakua wameisoma namba sana watafanya kila juhudi safari ya jamaa aliyeko mzigoni isite. FORGET ABOUT OPPOSITION TO LEAD THIS COUNTRY, EVEN 100 YRS I DON SEE IT....... TOROKA URUDI