Je, kauli ya Kingunge kuwa CCM imeishiwa pumzi inaanza kueleweka?

Gwayema

Member
Nov 16, 2016
53
72
Financial intermediaries hasa banks ni agents muhimu katika maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote. Na hata economic recession ya Marekani 2007/2008 ilisababishwa na mabank kwa kiasi kikubwa pamoja na real estate. Huu ni mwaka wa kwanza tunaskia banki zinafilisika mfano Twiga Corps na FBME. Benki nyingine zinapumulia mashine huku nyingine zikihesabu hasara mfano CRDB na BARCLAY'S.

Ukiacha hayo hali ya kifedha vyuo vikuu ni mbaya zaidi wanafunzi 25,000 tu ndio waliopata mikopo huku takribani wanafunzi 60,000 wamekosa mikopo.

Sasa katika mazingira haya wahitimu wa vyuo vikuu wataajiriwa na kujiajiri wapi ilihari mabenki na biashara zinapoteza mitaji?

Kwa mazingira hayo je bado CCM wana pumzi ya kuiendesha nchi?
 
Kuhusu vyuo vikuu kukosa fedha usitie shaka maana vingi vitafungwa hivyo issue ya wengi kukosa mikopo itakuwa solved kama walivyoleta vigezo vipya vya mikopo au kuzuia ajira kwa kisingizio cha uhakiki watumishi hewa
 
Wadau,kila napofuatilia ccm inalazimisha kupendwa wakati ukweli ni kwamba watu hawana imani nayo.Chadema inaungwa mkono na wananchi wengi,tatizo viongozi hawafanyi kazi.
 
Back
Top Bottom