Mh. Mwijage sio tu anastahili kutumbuliwa bali kushtakiwa

HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,733
5,553
Kwanza nionyeshe masikitiko yangu kwa mtu mwenye dhamana kubwa sana kuliko wengine katika kutekekeza wimbo wa Rais ( Tanzania ya viwanda) kufanya mzaha.
Katika kipindi cha mizani ya wiki kupitia Azam tv, ni dhahiri kabisa huyu sio waziri bali ni comedy, waziri anazungumza mambo muhimu kwa taifa lakini analeta mizaha ya kitoto, ana majigambo ya kitoto. Nilihisi Mbunge Komu ndio angeweza kuvuruga mjadala, ila ameonyesha ukomavu na staha kubwa sana utafikiri yeye ndio waziri kamili. Waziri yupo too emotional na kushindwa hata kuwa mtulivu kwenye jambo muhimu lenye maslahi kwa nchi, yeye anajua mwenzake kaja kubishana maswala ya ccm na ukawa.
Wazir huyu amekuwa mtu wa maringo na ujuaji kwa kisingizio cha ''experience'', lakini ukweli ni kwamba katika mawaziri mizigo huyu ni miongoni mwao.
 
Acha kulalamika onesha mzaha uko wapi?
 
nimeiona kipindi,aisee sikuwahi mfatilia saana huyu waziri,kwa Maelezo Yale vipisi vipisi mmh,long way to go.
 
Kwanza nionyeshe masikitiko yangu kwa mtu mwenye dhamana kubwa sana kuliko wengine katika kutekekeza wimbo wa Rais ( Tanzania ya viwanda) kufanya mzaha.
Katika kipindi cha mizani ya wiki kupitia Azam tv, ni dhahiri kabisa huyu sio waziri bali ni comedy, waziri anazungumza mambo muhimu kwa taifa lakini analeta mizaha ya kitoto, ana majigambo ya kitoto. Nilihisi Mbunge Komu ndio angeweza kuvuruga mjadala, ila ameonyesha ukomavu na staha kubwa sana utafikiri yeye ndio waziri kamili. Waziri yupo too emotional na kushindwa hata kuwa mtulivu kwenye jambo muhimu lenye maslahi kwa nchi, yeye anajua mwenzake kaja kubishana maswala ya ccm na ukawa.
Wazir huyu amekuwa mtu wa maringo na ujuaji kwa kisingizio cha ''experience'', lakini ukweli ni kwamba katika mawaziri mizigo huyu ni miongoni mwao.
Ni dhahiri, Mwijage zaidi ya comedy, ni empty headed.
 
Nimemsikiliza jamaa anapaniki na kutaka kuendesha mjadala, anaulizwa waziri kivuli swali yeye anaingilia, jamaa analeta mzaha sana kwa masuala nyeti kwa kujibu kwa mzahamzaha tu.
 
Asee nimemuona nimeshangaa kiasi fulani, alafu ni nshomire sijui.. Kuna tatizo kwenye hii wizara bado.
 
Niambieni kwanza tunaelekea wapi manake naona kama tumepotea njia.
 
Ni dhahiri, Mwijage zaidi ya comedy, ni empty headed.
Unaona wazi alikuwa amejihami kupita kiasi.Amebakia kusifia Dangote bila kujibu hoja za msingi.Naona Komu alikuwa katulia na kamaliza na" ikiwa hukueleza vizuri kuwa mwanao ana stree na sio degedege then kama ni binti anaweza asiolewa."
 
Acha kulalamika onesha mzaha uko wapi?
Nani kalalamika au hujui kusoma? Akitoa maelezo kuwa serikali hii haina tofauti na serikali iliyopita yaani watu ni walewale akiwemo yeye na Mh. Rais ndio Komu akamjibu kuwa Mh. Rais mwenyewe ndio anatuambia serikaki iliyopita ilijaa madili tu hivyo anataka kuisafisha, yeye akawa anamuuliza swali kuwa na wewe unataka kupiga dili? tena kwa kumu interrupt mpaka Komu akamwambia tatizo la waziri anapenda mizaha
 
Back
Top Bottom