TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,843
- 9,278
Mtukufu Raisi Wangu Natumai Upo Mzima Wa Afya Ukiendelea Na Kazi Ya Kuinyoosha Nchi,bila Kupoteza Muda Mh.Raisi Najua Barua Yangu Hii Utaiona na Pia Kama Hutaiona Inshallah Mungu Atakuelekeza Yale Ntakayokwambia..
Mkuu Kiufupi Watanzania Wameshachoka Na Maisha Katika Muda Mfupi Wa Awamu Yako Na Hii Ni Kwasababu Kwa Sababu Hawaelewi Hatma Yao
Baba Kipindi Watu Wanalia Na Njaa Ndio Kipindi Wewe Upo Bize Katika Mchakato Wa Kujenga Uwanja Chato Kwa Gharama Kubwa..Niseme Tu Ukweli Kiwanja Hicho Hakitakuwa Na Umuhimu Endapo Raia Watakufa Njaa.
Mheshimiwa Rais Walimu Wa Masomo Ya Sanaa Hawaelewi Hatima Yao Wengi Wao Siku Hizi Ni Bodaboda
Baba Watu Wamekata Tamaa Badala Ya Kuwafariji Kwa Maneno Matamu Unawatia Uchungu Moyoni(kiufupi Yale Maneno Uliyoyatamka Kagera Si Mazuri Hata Kama Ni Utani Hii Ni Sawa Nakumwambia Mgonjwa Wa Tb Utakufa Kesho
Njaa Ipo Mlangoni Na Kwenye Ghala Kuna Tani 90,000 Tu Wakati Muda Kama Huu Mwaka Jana Kulikuwa Na 450,000 Tan Halafu Umezuia Import Wat We Gonna Do?
NB:[HASHTAG]#2020SILEWITENA[/HASHTAG].