Hapa mbona movie ndo kwanz iko part one tujipe moyo wa subira tuyaone mengi lakn wa kuuanza ndo sizan kam atajitokeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndo shida ya wagombea hawakubali kushindwa kwa sabbu
Wankuwa wantumia pesa nyingi kinunua wapiga kur sas anafany iongoz kam sehem ya kurudishia ghalam zak
Akubali tu kushindwa maan hiyo ndo maan halis ya mashindano..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu kubwa iliyo ikumba dunia yetu na viumbe wake(binadamu) hapa lazima utejelee maandiko matakatufu "siku za mwisho upendo wa wengi utapoa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya singida united kuifunga gori la pili young walicho kifanya ni kuziba camer kwa jezi zao lakin walinz kam amelingamua ili mapema wakawasha camera nyingine
Leo watu tunatest mitambo bhana ukizma camera moja tunawasha ingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh Natoa ni jina amabalo nilijukuta nalkumbuka hii na baada ya mdogo wanag kuugua minyoo nilipo enda pharmacy nilimkuta dada mmjoa hv ampenda matan nilivyo muuelezea tatzoz la mdog wang kanamba hv "kuna dawa hapa mheshimiwa Natoa"nikamuliz nan amekwambia mm naitwa mheshiwa Natoa akacheka...
Haaaa #chiwaso kuienda maeneo ya vijijin kule kanda ya ziwa hasa nyakati za masika utashangaa kuku ananyonyolewa manyoya bila hata kumtia kweny sufuria ya maj ya moto alaf utasikia wanaita nyasatu njoo umrudishe huyu kuku bandani
Hapo lazm ushangae kama kanyonyolewa mbon hajaliwa...
Daaaa mzee hapo
Fanya uchunguz kam kwel hyo iphne ndo inadukuliwa
Ushauri zina hiyo ya zawada kwa siku kadhaa lafu kam ni lain amishia kweny cm ndogo( goroka)
Anza kuchepuka sas kam akianza ten vijembe vyake
Hapo inakubidi upambane na hali.yako
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji622][emoji622][emoji622][emoji622][emoji622]
Huuu uzi kuna.watu wanakuangalia tu kam hawakuon ila ukitaka kujua hawakelewi utashangaa uzi unakatika gafla
Non_politician
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.