Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,577
Mmh hayaaNimefanya maamuzi magumu,.. Ndio nimeamua kurudisha uchawi,!
Mmh hayaaNimefanya maamuzi magumu,.. Ndio nimeamua kurudisha uchawi,!
Asanteh kwa taarifa, ngoja nikafanye majaribio ya kuipekuwa hiyo simu ndogo yake.Hii simu ndogo ina shughuli kubwa na ya msingi sana kwa wale walioamua kuficha mawasiliano yasiyo rasmi kwa watu ambao wako kwenye mahusiano.
Mwanamke akitaka kupekua matumizi ya simu, hukimbilia ile kubwa (smartphone) akiamini matumizi mabaya hupatikana kwenye simu kupitia mitandao ya kijamii. Ataiacha ile ndogo akijua hamna kitu.
Kwa utafiti wangu, nimegundua walio wengi, kila mwenye simu kubwa ujue ana kisimu kidogo ambacho kinatumia line zaidi ya nne, akiwa kitaa kuna line zinatumika ambazo hata nyumbani mwenza wake haijui kabisa.
Simu ndogo zinazibeba ndoa nyingi, ndicho nilichokiona.
Utakuwepo tuu, endelea kutoa siri zingineEeeeeeh! Me simooo! [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Sawa mkuuSipendi hizo tabia mkuu,... Tuache dhambi
Anaharibu huyu,,,,,!!Mkuu mbona unatoa siri za kambi
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] tutake radhi!mnahangaika kama nguvu zenyewe mnazo basi! hata uache kitochi utumie s. l. p mnajichosha tu ni bora ubaki na mmoja ukijichanganya na visupu vyenu vya pweza umpe kashoo ka kichovu
ipi?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] tutake radhi!
Jirani kumbe bado unasubiri siri za kambini.Utakuwepo tuu, endelea kutoa siri zingine
[emoji8] nimekubambaaaMkuu mbona unatoa siri za kambi
Mkuu mbona unaharibu mpango mmzima wa chocho zetuHii simu ndogo ina shughuli kubwa na ya msingi sana kwa wale walioamua kuficha mawasiliano yasiyo rasmi kwa watu ambao wako kwenye mahusiano.