Recent content by MGUSI JOSEPH

  1. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Maekezo haya yanaondoa maana ya bima

    Mamlaka zinazohusika zitoe ufafanuzi zaidi kwa umma.
  2. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Jana ilibaki kidogo nipoteze maisha

    Write your reply...Pole sana.Hii ni hatari.
  3. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mshahara

    Yote kheri kuajiriwa/kujiajiri ili mradi kazi halali,umaskini na utajili ni matokeo tu
  4. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    Najaribu
  5. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Unashindwa kuweka akiba ya kipato chako kidogo? Tumia njia hizi

    Mada umeichakata vizuri
  6. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Akina dada kutusalimia ''shikamoo'' mnatuzeesha

    Pokea salaam,kama unanyongeza mwagika tu hawana shida usiogope.
  7. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu baada ya kufika chuo anataka baada ya miaka 4 ndiyo nimuoe

    Pole,hapo umekalia kuti kavu.
  8. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Nimerudia mtihani mara 3 ndo nikafaulu, je naweza kwenda form five?

    Kigezo cha kufanya Mtihani wa Form Vi ni Credit 3 tu haijalishi ulifanya mtihani Mara ngapi.Wahi Posta uchukue form ya kujisajiri upige paper.Hayo mengine yatajulikana mbele kwa mbele.
  9. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Msaada wana Jamvi Leseni ya udereva daraja d nitaweza endesha gari aina ya canter

    Sawa hapo nimepata dhana halisi
  10. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Msaada wana Jamvi Leseni ya udereva daraja d nitaweza endesha gari aina ya canter

    Ulipataje leseni bila kujua aina ya chombo unachopaswa kuendesha?
  11. MGUSI JOSEPH

    JamiiForums Tanzania Nataka niende Moshi na Boxer X150 nipeni ushauri wakuu

    Nakushauri tumia Usafiri wa umma,Taifa bado linakuhitaji
Back
Top Bottom