Msaada wana Jamvi Leseni ya udereva daraja d nitaweza endesha gari aina ya canter

Msaada wana Jamvi Leseni ya udereva daraja d nitaweza endesha gari aina ya canter

vfsuccessfully

Senior Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
180
Reaction score
64
Habati zenu Wakuu

kama maelezo yanavyo jieleza hapo juu wakuu ninauitaji wa leseni ya udereva daraja d je nikiipata nitaweza endesha gari la mizigo yani canter Asanteni.....
 
Hutakiwi Na Hauruhusiwi Sababu Class D Inakuruhusu Kuendesha Gari Kubwa Sana Landcruiser Gari Za Nyumbani Basi Gari Ya Mizigo Ni Class E Gari Ya Abiria C Plain Ni Bus C1 C2 C3 Magari Ya Abiria Mizigo Na Usafirishaji Ni Hayo Tu Kwa Maelezo Zaidi Fika Kituo Cha Polisi Kitengo Cha Usalama Barabarani Muone Vehicle Inspector
 
Habati zenu Wakuu

kama maelezo yanavyo jieleza hapo juu wakuu ninauitaji wa leseni ya udereva daraja d je nikiipata nitaweza endesha gari la mizigo yani canter Asanteni.....

Unachohitaji kufanya ni kwenda kwenye shale ya udereva na zimejaa kila mahali. Pale waulize maswali yote maana hapa naona kila mtu anatoa ushauri tofauti mara unaweza kuendesha canter tupu mara unaweza kuendesha land cruiser na basi yaani ni pasua kichwa
 
Mimi naendesha canter yangu ya tani 3 na hakuna hata siku1 trafik wameniletea maneno,kwahyo piga mzigo
 
Ni magari madogo tu. Mfano gari binafsi na sio za mizigo wala abiria.
 
bd1a339c38e933180b143307fc27deca.jpg
.
Ha
120c702d75432f133078d3181e23de7f.jpg

Haya, Self Service!
 
Hutakiwi Na Hauruhusiwi Sababu Class D Inakuruhusu Kuendesha Gari Kubwa Sana Landcruiser Gari Za Nyumbani Basi Gari Ya Mizigo Ni Class E Gari Ya Abiria C Plain Ni Bus C1 C2 C3 Magari Ya Abiria Mizigo Na Usafirishaji Ni Hayo Tu Kwa Maelezo Zaidi Fika Kituo Cha Polisi Kitengo Cha Usalama Barabarani Muone Vehicle Inspector
Zipo canter ndogo
Sio kila canter ni ya mizigo

Swali lake ni kujua kama anaweza endesha gari aina ya canter sio gari la mzigo
 
Habati zenu Wakuu

kama maelezo yanavyo jieleza hapo juu wakuu ninauitaji wa leseni ya udereva daraja d je nikiipata nitaweza endesha gari la mizigo yani canter Asanteni.....
Ndo maana mnaambiwa msome ona sasa unavyo hangaika
 
Class D kisheria anaendesha za class B na anaongeza mpaka kwa gari ya mizigo isiyozidi tani tatu na nusu.

canter zipo nyingi sana za tani tatu na nusu na hata za tani mbili.

Ukitaka kuendesha gari za mizigo kuzidi tani tatu na nusu tafuta class E mkuu.
nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mkuu
 
Back
Top Bottom