Kuna tetesi kuwa gazeti la JAMHURI lisionekane mitaani leo kwani lishanunuliwa au kukusanywa na wenye nchi.Kisa na Mkasa?Jimbo la uchaguzi Chalinze.
Inasemekana kuwa gazeti hilo ambalo ni maarufu kwa kuchimbua ukweli wa ndani limewechufua wenye nchi na kijana wao ambae anataka kugombea ubunge...
Walimu wasikubali kutii amri ya DC huyu.Sheria ya ELRA ya 2004 ipo wazi kwamba mfanyakazi hawezi kukatwa mshahara wake bila ridhaa ya maandishi;anayekiuka hilo anaweza kushtakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi.Usipodai haki yako hakuna atakayedai kwa niaba yako
Are you one of his sympathiser or cohort.If you are not you better take history lessons about Kagame.To me he is simply an accomplished butcher and dictator.
Hivi kwanini watanzania hawataki kukubali kuwa watanzania hatujui kucheza mpira?Kwa nini hatukubali kuwa ni lazima tupande halafu ndio tuvune?Je tunawachezaji wanaoweza kucheza vikombe vya afrika chini ya U17,U20 na U23?Lini tumeshiriki mashindano hayo?Kidato cha kwanza hukufika unataka...
Serkali tatu si gharama kwa mfano serkali ya Tanganyika inaweza kuwa na Wizara 15 na ile ya muungano inakuwa na wizara 10 au chini.Je ukilinganisha wizara zilizopo sasa na pendokezo langu ni ipi ina gharama?Hii issue ya kuvunja muungano naikubali sana hasa wakiingia wakorofi kama Maalim Seif...
Huyu ni muuaji kama FDRL na kila siku amekuwa anadanganya watu kwa kung'ang'ania historia ya mauuji wakati yeye alishiriki katika genocide.
JK katoa ushauri mzuri sana ingawa hataki kusikia.
Issue kubwa hapa ni ubinafsi wa CCM ambao walifanya siasa ni yao.Hao wanawake si wamewekewa nafasi zao kuna tatizo gani?Tatizo walizoea dezo na kupata ubunge kwa njia ya mgongo ushindani hata na wanawake wengine hawauwezi!! Watanzania wameongea na watahakikisha matakwa yao yanasimama.
Kifungu cha maraisi katika rasimu ya katiba yetu inanakera sana.Tutakuwa na maraisi wangapi?Ingekuwa vizuri kama tungekuwa na rais mmoja tu na nchi ya Tanganyika na Zanzibar zingeendeshwa na Mawaziri Viongozi kwa kimombo Chief Ministers
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.