Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha ushauri, wakati tumeshindwa kukaa na wanaMtwara meza moja kutatua tatizo la Gass. Viva Kagame
kama umeifuatilia vizuri hist ya rwanda hutaweza kupingana na kageme yupo sahihi kabisa ntarahamwe ni kundi lakigaidi kikwete pitia tena histo ndio unene mahakama za gacaca nitofauti na hawa ntarahamwe
Pamoja na tofauti zangu juu ya CCM na Rais Kikwete kwa ujumla; kwa hili, napingana na kile Kagame alichokisema. Lugha iliyotumiwa na Kagame sio ya kidplomasia na inaonyesha dhahiri dharau zake zidi ya Rais Kikwete.
Lakini kama kweli anataka amani ya kudumu basi ana budi kufuata huo ushauri. Tumeona leo kule Afghanistan, Marekani wanatafuta njia ya kuwashirikisha Taliban katika serikali. Kagame inabidi afike sehemu, akubali kwenda mbele na kutafuta muafaka wa kudumu.
Tanzania should seriously re-consider the relation with Rwanda
Pamoja na tofauti zangu juu ya CCM na Rais Kikwete kwa ujumla; kwa hili, napingana na kile Kagame alichokisema. Lugha iliyotumiwa na Kagame sio ya kidplomasia na inaonyesha dhahiri dharau zake zidi ya Rais Kikwete.
Lakini kama kweli anataka amani ya kudumu basi ana budi kufuata huo ushauri. Tumeona leo kule Afghanistan, Marekani wanatafuta njia ya kuwashirikisha Taliban katika serikali. Kagame inabidi afike sehemu, akubali kwenda mbele na kutafuta muafaka wa kudumu.
Anae bisha na kuleta kejeli juu ya kauli ya kikwete ajiulize anafaidika na nini kwa wakongo kuuwawa na askri wa kagame? Lakhni mwisho wa siku kagame atambue kuwa sisi ni taifa kubwa tunaweza hata yeye kumwondoa madarakani na kumweka mtu wetu kama tulivyo fanya uganda kongo na burundi
Kagame pamoja na kuvimbishwa Kiburi na Wabelgiji na Wafaransa ni wazi sasa anastahili KICHAPO
CC: Nyani Ngabu, Pasco, Somoche, Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Mag3 Maxence Melo
Kagame naona anasahau historia kwamba sisi we dictate the great lake region tunaweza mweka madarakani yeyote tumtakae asisahau tulicho fanya kongo,uganda etc
Hakuna cha ushauri, wakati tumeshindwa kukaa na wanaMtwara meza moja kutatua tatizo la Gass. Viva Kagame
Kama nyumba yake ninafaka na ya jirani kuna mtoto analia anataka msaada nibora kuacha yakwake iungue akamsaidie yule mtoto kwenye nyumba ya Jirani!!Kikwete anaacha nyumba yake inaungua anakimbilia kuokoa ya jirani!
Hakuna cha ushauri, wakati tumeshindwa kukaa na wanaMtwara meza moja kutatua tatizo la Gass. Viva Kagame