Recent content by Mgomele

  1. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Mjue Alka Yagnik, mchawi wa melodies za Bollywood na mafanikio ya Shahrukh Khan

    Kizazi cha sasa huwezi acha ongelea Neha Kakkar na Shreya Ghoshal kwa wanawake . Ukiwasikia hawa sauti zao live utaamini bongo hakuna waimbaji bali wote ni wakuchota na kusukuma ndani.
  2. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

    Wewe sio riziki kabisa inaonekana,
  3. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Nokia 5.1plus for sale

    Weka picha halisi plz
  4. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Boss wa mjengoni huenda akawa PM ajae katika kulipana fadhila

    Duh
  5. Mgomele

    JamiiForums Tanzania SAIGON wa EATV yuko wapi?

    Yupo radio iman ni Shekhe kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Jeshi la police Tanzania lijitafakari sana, la sivyo litafanya kazi katika mazingira magumu sana. Ikumbukwe: Jeshi la police haliwezi kufanya kazi bila ushirikiano na raia
  7. Mgomele

    JamiiForums Tanzania AZAM TV nawahama kwa kweli

    Wana decoder za dish?? Bei zao zikoje
  8. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Fundi TV anahitajika

    Salaam wakuu! Nahitaji Fundi mzoefu wa Flat Tv. Tv yangu ni aina ya TECHWOOD 32" .. Tatizo ni power. Kama yuko tayar kunitengenezea nyumbani kwangu ni PM . Nyumbani ni Mjimwema Kigamboni NB. Nauli nagharamia
  9. Mgomele

    JamiiForums Tanzania UKONGA MOMBASA, DAR: Polisi watembeza kichapo kwa raia. Yadaiwa kuna askari kauawa na raia

    Askari akiuwawa wanachapwa RAIA? They can't be serious. Hii nchi inaendeshwa kwa utawala wa sheria.. Anyway tupia kapicha mkuu
  10. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Hahhaha hatare@ mjushi
  11. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Nahitaji flat screen tv

    Techwood unayo aina gani
  12. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Natafuta tv flat screeen inch 32&42

    Unazo za namna gani
  13. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Angalia Mwezi Ukipatwa Leo Jioni – Watch Lunar Eclipse Tonight

    Naam mwezi umeanza kupatwa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mgomele

    JamiiForums Tanzania Angalia Mwezi Ukipatwa Leo Jioni – Watch Lunar Eclipse Tonight

    Nasubiri Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom