Boss wa mjengoni huenda akawa PM ajae katika kulipana fadhila

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Bwana mkubwa kila anaemtumia kwa masilahi yake, huwa anampa chochote na hasa vyeo kama shukrani bila kujali anamtumia kutenda mema au mabaya.

Kwa msingi huo, naona kuna uwezekano mkubwa boss wa mjengoni ameahidiwa kupewa cheo cha PM hapo mwakani kama fadhila kwa kazi anayoifanya.

Kama si hivyo, basi atakuwa amevuta mkwanja mrefu mpaka sasa kutoka kwa bwana yule.

Mtu huyu hawezi kujitoa akili kwa kiasi hiki bila kuwa na msukumo wowote.

Naomba niishie hapa.

Time will tell.
 
Kwani spika wa bunge na Waziri mkuu nani ni senior kwa mwenzake ?
 
Bwana mkubwa kila anaemtumia kwa masilahi yake, huwa anampa chochote na hasa vyeo kama shukrani bila kujali anamtumia kutenda mema au mabaya.

Kwa msingi huo, naona kuna uwezekano mkubwa boss wa mjengoni ameahidiwa kupewa cheo cha PM hapo mwakani kama fadhila kwa kazi anayoifanya.

Kama si hivyo, basi atakuwa amevuta mkwanja mrefu mpaka sasa kutoka kwa bwana yule.

Mtu huyu hawezi kujitoa akili kwa kiasi hiki bila kuwa na msukumo wowote.

Naomba niishie hapa.

Time will tell.

Hata mchana mnaruhusiwa kuota ndoto sio dhambi.
 
Tawile

Back
Top Bottom