Recent content by Mgodo visa

  1. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yesu na Allah Nani aliye muumba mwenzie?

    Tungejiuliza Kwanza Nani aliye muumba Mariam (Bikira Maria) ambaye ni Mama Yake na Yesu (ISSA). Tuanzie hapa.
  2. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mnyama anayefanana na ng'ombe aonekana ufukweni

    Hii technology (AI) itasumbua sana watu wasio taka kusumbua akili zao kuyachambua mambo. Tunashukuru uwepo wa Jukwaa JAMII CHECK.
  3. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Bado natafakari

    Mkuu unaelewa vizuri tafsiri ya neno KUCHARUKA...!? Umesema amewacharukia TRA...
  4. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Tunaiandikia FIFA barua ili Simba ifungiwe kwa kujihusisha na siasa

    Well said Mkuu, huyo jamaa (Mdude) nae apunguze MAJAZBER, aache kukurupuka.
  5. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

    Hii Kali kweli kweli. Hipo KAZI kuidhibiti KAZI...!
  6. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

    Hujatuambia wewe ni mzaliwa wa wapi, mkoa gani? Tuanzie japo Kwanza.
  7. Mgodo visa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwa wanawake waliopo kwenye ndoa kwa kizazi hiki

    Nimeacha Mwanamke na sitarajii kuoa tena ..
  8. Mgodo visa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikujua kwamba wanawake ni pasua kichwa kiasi hiki

    Tayari kashakupa uchizi...
  9. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Nani mgunduzi wa puli duniani?

    Nilikuwa Tu, siwezi kusoma thread zote nisikutane na jibu, hii ndio Jamii Forum, kisiwa cha maarifa (elimu) .
  10. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Vita kuu ya tatu ya dunia imeshaanza, sababu na matukio tukitumia kumbukumbu ya vita kuu ya pili ya dunia

    Avatar (profile) yako inaakisi ushari Tu,ebu taja na umri wako...!!
  11. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Lissu awasusia Ziara Mbowe na Lema

    Huyo mtu bado ana Vyuma mwilini.
  12. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Kwani/hivi mafanikio ya mtu yoyote Yule ni lazima awe na pesa.....!?
  13. Mgodo visa

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa kifedha kupitia mama ako basi usisubiri hadi upate hela nyingi. Fanya kama haya

    Anglia Tu na chunga usije kumlisha hela ya mazabe, usije ukathubutu kufosi ukamlisha hela ya deal (upigaji) Chambi huyo huna pa kuiweka.
  14. Mgodo visa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu kikubwa unachopaswa kufanya ni kuwaruhusu wanaotaka kuondoka katika maisha yako waondoke

    Nimemuelewa vizuri Mkuu, kweli itakuuma ila faida Yake ni kubwa baadae.
Back
Top Bottom