Kati ya Yesu na Allah Nani aliye muumba mwenzie?

Kati ya Yesu na Allah Nani aliye muumba mwenzie?

Literary, YESU ndiye aliyemuumba ALAH.
Yesu ni Mungu na alikuwako kabla ya misingi ya dunia kuumbwa, yani kabla ya Adamu na Hawa.
Alikuja duniani kama Mwanadamu kupitia Miriamu na Yusufu ambapo baaada ya Yesu kuzaliwa Yusufu aliendelea kuzaa watoto wengine na mkewe Miriamu.
Sawa mkuu, shukurani kwa maoni yako, pia kama una nyama zaidi ni vyema ukiongeza
 
Habari za jioni waumini....

Zifuatazo ni nukuu au maandishi yaliyomo katika vitabu viwili vitakatifu.

Yesu alikuwa amelala akiegemea mto sehemu ya nyuma kwenye ile mashua, Wanafunzi wake wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kwamba tuna zama?’
~ Marko 4:37

Mwenyezi Mungu, hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala.
~ Quran 2:255

SWALI: Kwa kuzingatia vifungu tajwa hapo juu, ni nani aliye na mamlaka juu ya mwenziye?

Je inawezekana Mungu kuamshwa usingizini na wanadamu aliyo waumba?
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
Quran sura 70: 40 Allah anaapa kwa kutaka jina la Mungu wa pande zote za dunia. Hivyo ni rahisi kujua kuwa Allah anatbua ukuu wa Mongu Jehova
فَلَاۤ أُقۡسِمُ بِرَبِّ ٱلۡمَشَـٰرِقِ وَٱلۡمَغَـٰرِبِ إِنَّا لَقَـٰدِرُونَ ۝٤
 
Attachments

Sijakuelewa mkuu, fafanua vyema
 
Back
Top Bottom