Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,694
- 16,322
Hadi vichanga vikiwa tumboni vinapiga PullMorning.
Wagunduzi wa kila kitu duniani wanafahamika kwa gunduzi zao nyingi.Nani aligundua upigaji puli(masterbation) Nimemgundua jamaa yangu baada ya mke wake kumshutumu kwa tabia hiyo kwenye kikao cha kutatua mgogoro wa ndoa.
Watu wengi inasemekana enzi zao za ujana wamejaribu suala hili na wengine wanaendela mpaka leo.Lakini kwa wingi huu wa midoli halali kabisa kwanini wanafanya hivi?
Ladies pia toeni comments.