Recent content by Mgelukila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu na wenzake: Makinda ahalalisha maamuzi ya Ndugai, aingiza kipengele kwenye kanuni

    Hakuna kanuni ? Wamekurupuka ? Aibu , ubabe wote silly season
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya ulinzi kivukoni Kigamboni watu hawa vipi?

    Kwanza hao Suma Jkt sioni wanachofanya ni wakorofi kwa abiria tatizo hawana elimu ya uraia , pili wameshindwa kuwaondoa wauza karanga , pipi umri wa kwenda shule , wavuvi wa mshipi , watoto waogeleaji haswa asubuhi jumatatu , tatizo wakubwa wako busy na uchakachuaji hawataki electronic machine...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kidedea Urais SAUT

    Hongera Chadema hongera Devocatus wasomi wanajitambua pesa za magamba msirudishe Peoples.......z
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

    Kingwadala anajijua harudi bungeni , mwigulu hali mbaya jimboni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugora ahofia wabunge wengi wa CCM kutorudi bungeni 2015

    Ccm kwishiney , Leo wabunge mbili haikai tatu inachomoka mbele giza , wizi wa kura wananchi wameshituka
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mgogoro wa Ardhi Loliondo: Waandishi wa habari wapotea hawajulikani walipo

    Masikini kuwadi nchemba
  7. M

    JamiiForums Tanzania Saumu aomba ulinzi wa CCM!

    Watupe vitambulisho vya utaifa haraka tuwang'oe haraka
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wabaya wa CHADEMA wavurugana!

    Kazi ya ccm itakuwa kukanusha lkn haita saidia bora watubu kwa kuwafukarisha wa tz kwa miaka 50 na kuwaomba msamaha na kukabidhi nchi
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha za kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta na akiwa kazini.

    Hana nia njema na wakenya nawaonea huruma kwa kuchagua mtu anayekwepa responsibility bora ya kibaki na Raila mtanikumbuka . Dhamana ya nchi anapewa mtu na si familia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Jeshi la polisi lawasaka mchungaji na diwani

    Kesi ya ponda si ya mfano , tatizo la waislam kwa waislam wakristo wanaingiaje hapo ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania How to use JamiiForums effectively

    Mimi nimejiunga muda nimeanzisha threads vzr na kuchangia kwa muda mrefu lkn sikuhizi nikituma post haiwekwi au naambiwa sitambuliki kama kuna gharama mniambie kuliko kuninyima kuchangia au kuanzisha uzi ? Kama kuchangia tupeni taratibu ili tu qualify kujumuika na wenzangu kuna matukio mengi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SUMATRA watangaza ongezeko la nauli, kuanza kutumika Tarehe 12 Aprili 2013

    Ccm kweli wameshindwa kuongoza nchi masikini hana chake watembea kwa miguu wataongezeka , kwani lzm kutumia mafuta ? Gesi yatosha na wanafunzi irudi 50 mkubwa 150 kwa Dar
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha za Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Zanzibar

    No sense
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Elimu katika kashfa vyeti

    Kwa kuwa mwandishi hakuficha jina "na mwandishi watu" basi hii habari ya kweli tena wapo wengi kama msako ufanye kwa wote ukienda bandari utalia
  15. M

    JamiiForums Tanzania Data za kisayansi katika video inayohusishwa na Lwakatare

    Mtahangaika sana mwaka huu , humpati mtu magamba imekula kwenu .
Back
Top Bottom