Recent content by mge

  1. M

    Wilaya ya Ilala ni kubwa igawanywe ipatikane wilaya ya Ukonga

    Wilaya ya Ilala ni kubwa ambayo inahusisha mjini kwa maana ya kariakoo na posta pamoja na miji ya pembezoni kama Tabata, Segera, Kinyerezi, Maramba, Kitunda yote hadi Kivule,Ukonga, Gongo la mboto na vitongoji vyake ikiwa ni pamoja na chanika na maeneo mengine kama majohe pugu bomba mbili bwera...
  2. M

    PreGE2025 Jimbo la Ukonga ni la mwisho kwa maendeleo Dar es Salaam

    2025 Tuchague mbunge anayekaa ndani ya jimbo husika. Sio tunamchagua mbunge hata hamjui anaishi wapi? Shida zenu anazijuaje?
  3. M

    Barabara za jimbo la Ukonga mbovu sana kulikoni?

    Jimbo la ukonga ambalo mbunge wake ni mh jerry slaa lina miundombinu ya barabara ambayo ni mibovu labda kuliko majimbo yote ya Dar es Salaam. Barabara ya banana- kitunda mashimo matupu. Barabara ya mombasa hadi bombambili ni shida kubwa Barabara ya kampala hadi bwera ni shida Barabara ya...
  4. M

    Barabara za Jimbo la Ukonga zote mbovu

    Jerry slaa mbunge wetu uko wapi???
  5. M

    Barabara za Jimbo la Ukonga zote mbovu

    Barabara za jimbo la Ukonga zote mbovu sijui tumekosea wapi. Wakati katika majimbo mengine ukarabati wa barabara upo kwa kasi kubwa ni tofauti kabisa kwa jimbo la Ukonga. Mbunge wetu ebu tusaidie wananchi wako.
  6. M

    Natafuta dobi wa kufua na kunyosha nguo

    Asante kwa ushauri wako kaka. Lakini bado nahitaji dobi ambaye anajua kunyoosha nguo za aina tofauti
  7. M

    Natafuta dobi wa kufua na kunyosha nguo

    Uzoefu wa kunyoosha nguo.
  8. M

    Natafuta dobi wa kufua na kunyosha nguo

    Nataka kufungua drycleaner maeneo ya majohe-Gongo la mboto. Nahitaji dobi ambaye atafua nguo kwa kutumia mashine na kunyoosha. Mwenye sifa hizo piga 0788 200 767
  9. M

    Kubadilisha brake lining na kutumia Disc

    Nina gari Toyota pick up vigo (2005). Natamani kubadilisha brake za nyuma zitumie disc badala ya brake lining zilizopo Nifanyeje wapendwa? Naomba nishaurini tafadhali kama inawezekana
  10. M

    Wapi naweza kupata huduma ya xray ya haraka kwa DSM?

    Wapi naweza kupata huduma ya xray ya haraka kwa DSM?
  11. M

    Naomba kujuzwa hospitali nzuri kwa matibabu ya Corona

    Naombeni ushauri hospital nzuri kwa matibabu ya corona kwa waliopitia jaribu hili ni ipi? Naomba ushauri wenu nina mgonjwa ana dalili zote nataka nimpeleke. Au kama kuna dawa ya tiba mbadala inayosaidia katika hatua za awali nisaidie.
Back
Top Bottom