M mge JF-Expert Member Dec 19, 2013 558 179 Jul 27, 2021 #1 Nina gari Toyota pick up vigo (2005). Natamani kubadilisha brake za nyuma zitumie disc badala ya brake lining zilizopo Nifanyeje wapendwa? Naomba nishaurini tafadhali kama inawezekana
Nina gari Toyota pick up vigo (2005). Natamani kubadilisha brake za nyuma zitumie disc badala ya brake lining zilizopo Nifanyeje wapendwa? Naomba nishaurini tafadhali kama inawezekana