Huduma ya kwanza akiwa nyumbani alalie tumbo, hii inasaidia kupanua mapafu na hewa kuingia. Oxygen ndiyo mpango mzima.
Namibia has become the first country in the world to perform an autopsy (post-mortem) for a Covid-19 corpse. After a thorough investigation, it was discovered that Covid-19 does not exist as a virus, but rather a bacterium that has been exposed to radiation and causes human death by coagulation in the blood.Naombeni ushauri hospital nzuri kwa matibabu ya corona kwa waliopitia jaribu hili ni ipi??
Naomba ushauri wenu nina mgonjwa ana dalili zote nataka nimpeleke.
Au kama kuna dawa ya tiba mbadala inayosaidia katika hatua za awali nisaidie.
Shida inakuja kama mgonjwa ana kitambi.Huduma ya kwanza akiwa nyumbani alalie tumbo, hii inasaidia kupanua mapafu na hewa kuingia. Oxygen ndiyo mpango mzima.
Apambsne na hali yake.Shida inakuja kama mgonjwa ana kitambi.
Huo ni wizi,,hiyo hospili inamilikiwa na kampuni gani,?Na vipi kuhusu gharama za matibabu? Mzee wangu amelazwa kcmc yaan siku moja tu million 2 hii ni kwel?