M mge JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 561 Reaction score 183 Jul 30, 2021 #1 Nataka kufungua drycleaner maeneo ya majohe-Gongo la mboto. Nahitaji dobi ambaye atafua nguo kwa kutumia mashine na kunyoosha. Mwenye sifa hizo piga 0788 200 767
Nataka kufungua drycleaner maeneo ya majohe-Gongo la mboto. Nahitaji dobi ambaye atafua nguo kwa kutumia mashine na kunyoosha. Mwenye sifa hizo piga 0788 200 767
L Lucy massunya Member Joined Feb 12, 2013 Posts 16 Reaction score 31 Jul 30, 2021 #2 Nipo tayari kama tapewa maelekezo, uzoefu sina ila nitaupata huko huko 0693777886
S sirmweli JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 1,633 Reaction score 790 Jul 30, 2021 #3 Ungeainisha hizo sifa.
M mge JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 561 Reaction score 183 Jul 30, 2021 Thread starter #4 sirmweli said: Ungeainisha hizo sifa. Click to expand... Uzoefu wa kunyoosha nguo.
hnp JF-Expert Member Joined Dec 4, 2020 Posts 276 Reaction score 475 Jul 30, 2021 #5 Mkuu mi pia naishi majohe nataka kukuuliza kama umepafanyia sana utafiti uku? Usije ukachoma mtaji wako ivyo vitu ni bora zaidi vikiwa maeneo ya chuo kama Kampala University pale. Ni ushauri tu
Mkuu mi pia naishi majohe nataka kukuuliza kama umepafanyia sana utafiti uku? Usije ukachoma mtaji wako ivyo vitu ni bora zaidi vikiwa maeneo ya chuo kama Kampala University pale. Ni ushauri tu
M mge JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 561 Reaction score 183 Jul 31, 2021 Thread starter #6 hnp said: Mkuu mi pia naishi majohe nataka kukuuliza kama umepafanyia sana utafiti uku? Usije ukachoma mtaji wako ivyo vitu ni bora zaidi vikiwa maeneo ya chuo kama Kampala University pale. Ni ushauri tu Click to expand... Asante kwa ushauri wako kaka. Lakini bado nahitaji dobi ambaye anajua kunyoosha nguo za aina tofauti
hnp said: Mkuu mi pia naishi majohe nataka kukuuliza kama umepafanyia sana utafiti uku? Usije ukachoma mtaji wako ivyo vitu ni bora zaidi vikiwa maeneo ya chuo kama Kampala University pale. Ni ushauri tu Click to expand... Asante kwa ushauri wako kaka. Lakini bado nahitaji dobi ambaye anajua kunyoosha nguo za aina tofauti