Recent content by Mgazini

  1. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kazini kwa Watu wa kada mbalimbali

    Baadhi ya wanaoitwa kuripoti kazini huwa hawaendi kutokana na may be kupata sehemu mbili tofauti, au kunyinimwa ruhusa kutoka kwa mwajiri wake Wa zamani, maana sio wore wanaopata kazi ni walikuwa hawana kazi kuna baadhi wanatoka makazini, so kama kuna mmoja hajaripoti taarifa inatolewa na wao...
  2. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Lema akipona katika hili abadili mbinu zake katika siasa

    Wako viongozi South Africa Walipitia Viunzi vya kisiasa lakini Viunzi walivyopitia ni tofauti na Viunzi vya kijinga vinavyoaendeshwa na GL, Siasa za Kijinga zisizo na tija kwa mwananchi wa kawaida.
  3. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta azidi kung'ara Ubelgiji

    Ilikuwa strategic plan ya coach, wana Game kubwa this weekend kupambana kufunzu europer league,
  4. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Nape: Wananchi wanashindwa kuwaamini wapinzani kwa sababu ya ukigeugeu wenu

    Unatumia bidhaa za Bakhresa, unaijua elimu ya Bakhresa?
  5. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

    Babu hakujiita Dr, hakujitangaza, it is very simple
  6. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Ziara za kushtukiza, waandishi wanapataje taarifa?

    Kila Wizara ina afisa habari, ni jukumu lake kuwatafuta waandishi Wa habari, anajukumu la kuitaarifu umma kila kinachotokea Katika wizara, tunasema ni ziara ya kushtukiza kwakuwa Kule anakotembelea Hawana taarifa ya ujio wake, ila Waandishi wa habari na Idara ya habari ya Wizara inajua leo...
  7. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere kizimbani

    Speeches zina mipaka, usitoe speech dhahania inayohusu usalama wa Taifa
  8. Mgazini

    JamiiForums Tanzania CCM inaongoza mpaka sasa Majimbo 4 yaliyofanya Uchaguzi kiporo wa Ubunge

    Sasa wewe unataka majimbo yote yakamatwe na ccm miaka 23 ya vyama vingi?
  9. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Kubenea apandishwa Mahakamani leo

    Kura hukumpa, hadi umpende kwa lipi? We Endelea kumchukia,
  10. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Tamko: CHADEMA yalaani kukamatwa kwa Mbunge wa Ubungo Kubenea

    Swali la msingi! Ni sahihi kumwita Mkuu wa Wilaya Kibaka?
  11. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Mdahalo uliondaliwa na TAHLSO wa Kujadili hotuba ya rais Star TV

    Vijana Wengi akili zao ni za kushikiliwa
  12. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Mdahalo uliondaliwa na TAHLSO wa Kujadili hotuba ya rais Star TV

    Wamevurugwa
  13. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Afisa TPA: Vigogo walitumia "vimemo" kupitisha makontena yao ya ndugu zao na ya wapendwa wao

    Majina ya nini, Sema walipe Kodi, majina yatakusaidia nini
  14. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Lubuva kushitakiwa mahakama ya Tanzania

    Wabunge Wenu 35 Ccm 188 Afu unasema Lowasa kashinda, foolish
  15. Mgazini

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Kijo bi simba' ukawa
Back
Top Bottom