Mbwana Samatta azidi kung'ara Ubelgiji

Jana kapiga goli zuri sana huyu jamaa katuwakilisha vizuri sana ulaya, ni bora hata Wenger akafikiria kumchukua
 
Samatta ameshacheza mechi nyingi na amekuwa akifanya vizuri ila huyu kocha sijui kwanini bado hana imani nae, amekuwa akimwanzisha benchi sana kuliko kuanza, ata game ya jana kaingia dakika ya 79, kuanzia benchi kwa mchezaji mpya ni sawa ila sio kwa status aliyonayo samatta ya kuwa mchezaji bora katika ligi za Africa, inakuwa km dharau hivi, anyway dogo ana baraka zote za watanzania na tuna imani nae
 
hapana si kweli mbona game zote za kufuzu uropa cup kaanza??? Tena kacheza dk zote 90.. Jana samata kaanzia benchi kwakua kocha kaona ana uchovu wa game 3 mfululizo za kufuzu uropa cup,, halafu kumbuka kwa wenzetu kuanzia benchi si dharau bali ni sehemu ya kusoma mchezo kimbinu na kiufundi.
 
Mungu Baba, bariki miguu ya mtanzania huyu, Baba miguu ya huyu ifunge magoli zaidi, itembee maili za mbali zaidi ya Belgium, nyota yake ing'ae mpk kwa Prof. Arsene Wenger ama Zidane!

Wote semeni Amiin.
 
Samatta ameshacheza mechi nyingi na amekuwa akifanya vizuri ila huyu kocha sijui kwanini bado hana imani nae, amekuwa akimwanzisha benchi sana kuliko kuanza, ata game ya jana kaingia dakika ya 79, kuanzia benchi kwa mchezaji mpya ni sawa ila sio kwa status aliyonayo samatta ya kuwa mchezaji bora katika ligi za Africa, inakuwa km dharau hivi, anyway dogo ana baraka zote za watanzania na tuna imani nae
Unajua nyie hamjui kitu aise....
Kuna jamaa mmoja hivi anaitwa Nicolas karelis...huyo jamaaa ni forwaf matata pale Genk na ndo anayeongoza kwa kufunga magori mengi sana pale ...
In short jamaa ni tegemezi sana pale genk...sasa tatizo linakuja kuwa samatta anacheza namba moja na jamaaa yule ndo mana inabid samatta aanza ili badae atoke au aanze Nicolas krelis badae ampishe samatta ....shida inakuja ile namba lazima ichezwe na watu wawili na wote ni mashine..

Ili samatta apate namba ya kudumu ni lazima nicolas auzwe ndo samatta atapata totallity of dominating a costant number as forwad attackee lakin vinginevyo ataendelea kupokezana na karelis make hata jamaaa nalo ni mashine....

Fuatilieni magoli mengi jamaa linafunga pale genk...ndo mana mechi nying likikosa genk inafungwa snaa aiseee....
 
Ni kweli Mkuu, jamaa anatisha. Lakini vipi, unaonaje, "tumtengeneze"? huyu Nicolas karelis ili njia iwe nyeupe kwa SAMAGOAL ama? ushauri wako tu, kama kazi inaweza kufanyika, hii ni kwa maslahi ya taifa Mkuu!

tvl-jpg_1470062558.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hivi Samatta anakula pesa kwa NIKE au anavaa tu kwasababu ya Genk? Anatakiwa apige pesa fasta maana soka la siku hizi ukicheza miaka mitano tu unatakiwa kishaeleweka.
 
Ni kweli Mkuu, jamaa anatisha. Lakini vipi, unaonaje, "tumtengeneze"? huyu Nicolas karelis ili njia iwe nyeupe kwa SAMAGOAL ama? ushauri wako tu, kama kazi inaweza kufanyika, hii ni kwa maslahi ya taifa Mkuu!
Unajua nin mkuu...yan ilipasa nicolas karelis auzwe dirisha hilibla usajili na tayar club kubwa kama aufbag na inter millan pamoja na Ajax walikuwa tayar washa mtolea macho ila walimwongeza mkataba fasta ....

Yan jamaa angeondoka pale ingekuwa safi snaa kwan samatta angepata full domination of playing number na angeonekana sana tu...
Lakini ngoja tusubir EUROPA LEAGE pengine samatta akionekana anazid kufunga magoli pwngine club za england watakuwa tayar washamtolea macho kwa hiyo itakuwa kamaa chance kwake kuondoka...
Lakini pia ikumbukwe kuwa Genk ni club ambayo inapenda sna biashara..mara nying wanaandaa wachezaji pale wanawauza kwa pesa ndefu..namini Nicolas karelis hata kaaa sana pale huenda dirisha dogo la usajili la mwezi wa pili akaenda Ajax au club yoyote england na kutoa mwanya kwa samatta kuonyesha umakinibwake..
Au samatta mwenyew anaweza akatembea dirisha dogo labusajili mwezi 2 pale make Genk wenyewe ni wapenda pesa sna wale ..huwa hawana tabia ya kufuga vinara wkati mpunga wanauona..let us wait...
 
Samatta ameshacheza mechi nyingi na amekuwa akifanya vizuri ila huyu kocha sijui kwanini bado hana imani nae, amekuwa akimwanzisha benchi sana kuliko kuanza, ata game ya jana kaingia dakika ya 79, kuanzia benchi kwa mchezaji mpya ni sawa ila sio kwa status aliyonayo samatta ya kuwa mchezaji bora katika ligi za Africa, inakuwa km dharau hivi, anyway dogo ana baraka zote za watanzania na tuna imani nae
Ilikuwa strategic plan ya coach, wana Game kubwa this weekend kupambana kufunzu europer league,
 
Jana kapiga goli zuri sana huyu jamaa katuwakilisha vizuri sana ulaya, ni bora hata Wenger akafikiria kumchukua
Hakuwakilishi wewe, anacheza mpira kwa njaa zake. Iko siku mtatuambia eti Mbwana Samata ni matunda ya CCM, chama kile kile kinachohodhi viwanja vya umma kwa maslahi binafsi.

Muda mrefu sana sijamsikia, leo kafunga kagoli kamoja tayari anatosha kuchezea Arsenal....dah, sasa Arsenal imewekwa kundi moja na Simba
 
Bila shaka wewe ni UKUTA au MSOMALI
 
Acha tabia za kichawi weweee
 
umesahau kunywa dawa zako, au umelkatisha dozi!??
 
Mmemaliza?

Mbwana Samata yupo huko aliko kwa juhudi zake. Hajaenda kumuwakilisha yeyote kati yenu, niwakumbushe kuwa sio Olympic ile. Arsenal sio Simba koko kiasi mtu akifunga goli moja kwa miezi mitatu tu basi anatupiwa jezi akakipige Emirates
 
Back
Top Bottom