Natabiri kuwa uchaguzi wa mameya dar utafanyika wakati kube hayupo
Niseme tu kuwa sasa nimeanza kumchukia Magufuli.
Niseme tu kuwa sasa nimeanza kumchukia Magufuli.
Tukitaka kuwa na Tz nzuri isiyo na kina Makonda tuwe na katiba nzuri. Hii ya sasa ina element za kikoloni na ndio mwanya wa ma RC, DC na hata RPC wanautumia kuudhalilisha upinzani ilhali upo kisheria
Niseme tu kuwa sasa nimeanza kumchukia Magufuli.
aliisha oa zamaniNiseme tu kuwa sasa nimeanza kumchukia Magufuli.
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea anafikishwa mahakamani Kisutu muda huu.
Huku ni kuiongezea mahakama mrundikano wa kesi zisizo na kichwa wala miguu
Kwa mtindo huu lazima Makonda ajitafakari mara mbili mbili
Makonda yuko saw a, hata kama ungekuwa wewe. Ni mwenyekiti wa kijiji acha mkuu was wilaya kitendo cha mbunge kukuita Kibaka ni utovu wa nidhamu, acha aswekwe ndani huyo ni haki yake
Inasemekana kuwa huyo DC Makonda ameframe charge ya kuwa Kubenea amemtukana kuwa yeye ni mjinga sana!Kwa shtaka gani?
Utajiju, sisi mbele kwa mbele.
Watu wengine wanadhani kwamba ukishakua mbunge basi upo juu ya sheria, hii ni tafsiri ya ukawa wote.
Inasemekana kuwa huyo DC Makonda ameframe charge ya kuwa Kubenea amemtukana kuwa yeye ni mjinga sana!
Duh................. kazi kweli kweli............. kama kila anayeitwa mjinga hapa jijini Dar angefungua mashitaka, basi ingekuwa balaa kubwa.............