Ziara za kushtukiza, waandishi wanapataje taarifa?

Ziara za kushtukiza, waandishi wanapataje taarifa?

Damy Scotty

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
717
Reaction score
454
Hivi waandishi huwa wanapataje taarifa kwenye hizi ziara za kushtukiza?

Kama kweli huwa znafanywa kwa kushtukizwa?
ImageUploadedByJamiiForums1450293485.236535.jpg
 
Ha ha ha!!!! Waandishi wanawaambia ila wanaemtembelea hawamwambii. Wakimkosa wanasema kawakimbia!!!!
 
Kila mmoja anajidai kashtukiza kumbe anacheza na media ili magu amuone
 
Kila Wizara ina afisa habari, ni jukumu lake kuwatafuta waandishi Wa habari, anajukumu la kuitaarifu umma kila kinachotokea Katika wizara, tunasema ni ziara ya kushtukiza kwakuwa Kule anakotembelea Hawana taarifa ya ujio wake, ila Waandishi wa habari na Idara ya habari ya Wizara inajua leo mheshimiwa atakuwa Wapi
Ziara hizi zinatakiwa zinasaidia watumishi kuwa wawajibikaji
 
Back
Top Bottom