Hao weupe ni watu wabaya sana kwani hutoa Scholarships ya kwenda kusomea yale yasiyotufaidisha watz, bali yale yanayoendelea kuwafaidisha wao tu.
Kwa mfano leo unaenda kusomea uinjinia wa Nyuklia ili ufanyie kazi wapi, kama siyo kwao, tena kwa ujira mdogo.
Je ni mwadilifu? Ndiyo
Je hajajilimbikizia mali? Ndiyo anamiliki nyumba ya kawaida kabisa Mikocheni
Je hana scandali? Kabisaaa
Je hana nyumba ndogo kila mkoa/wilaya? Hapana
Je Ni Wakurugenzi wapi wa Wilaya na Watendeji wengine yeye aliowapendelea? Hakuna kwani wakati huo yeye hakuwa...
Alichokieleza Bwana Fungo Agustus ni sahihi kabisa kwani bila kuwa na Data Protection Act au Electronic Communication (Regulations)Act, kufanya udhibiti wa Information katika Internet itakuwa ngumu sana.
hata hivyo kitaalam inawezekana kuwabaini watu wanaoshiriki katika kuziingiza...
No hiyo ni aibu kabisa kwani kwa kiongozi kama yeye anamsaidizi wake ambaye pamoja na mambo mengi, anatakiwa kuwa pia mshauri wake wa karibu wa mavazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.