How is the Internet regulated in Tanzania?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How is the Internet regulated in Tanzania??

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kapinga, Dec 6, 2007.

 1. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2007
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hello everyone, im a new member and was just curious and would appreciate any details from the JF members on how the Internet is regulated in our beloved country (from company websites, blogs etc)
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145

  Kapinga,
  Karibu sana JF!

  Answer to your question; I belive all communications in Tanzania are regulated by TCRA (Tanzania Communications Regulatory Authority), thus the internet too befalls under the umbrella.

  This is a statement from their site:

  Their website: http://www.tcra.go.tz/
  It's is bit slow at loading but if you manage, there is a lot to glean on the site.

  SteveD.
   
 3. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2007
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thanks for the response steve D.
   
 4. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2007
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thanks for the quick response will look into the details of the Act..
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Actaully i was wondering about the same thing, but my question is how is internet controlled, regulations are in place but are rarely followed, control that is big question! how do they do it. It is not easy to threaten netzens like they newspaper editors, it is a bit hard given backwardness to tech we have here!
   
 6. C

  Chuma JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2007
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kimsingi wao TCRA ni watoa VIBALI...na Frequecy issues..nilivyoelewa hapo juu incase GOV inasema fungia website fulani isionekane...Kwa nchi kama TZ ni ngumu wataweza tu thru TTCL kwani hio ni semi-GOV..kwa makampuni mengine kunahitajika tech ya hali ya juu au wa-enforce some POLICIES. Nchi zingine rahisi kwani control ipo kubwa thru Makampuni.
   
 7. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2007
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Tanzania hatuna Electronic Communication (Regulations) Act au Data Protection Act,hivyo suala la internet Tanzania kwa sasa bado lina maswali mengi sana,labda yafaa kuanzia hapa tuanze mjadala wetu
  Augustus
  Student
  Legal Aspects of Electronic Commerce
  University of Essex
  Colchester
  UK
   
 8. m

  mgayasida Member

  #8
  Jan 1, 2008
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alichokieleza Bwana Fungo Agustus ni sahihi kabisa kwani bila kuwa na Data Protection Act au Electronic Communication (Regulations)Act, kufanya udhibiti wa Information katika Internet itakuwa ngumu sana.
  hata hivyo kitaalam inawezekana kuwabaini watu wanaoshiriki katika kuziingiza data(Information) husika. Inawezekana kila mmoja atimize wajibu wake
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Data protection za nchi kibao zinafanana, ku-implement hapa Tanzania sidhani itakuwa shida... mimi naona kwenye vitu vingine kama hivi, hamna haja ya kuanzisha ma- endless consultations, ni bora tu ku-copy data protection acts kutoka nchi kama 5 hivi na kumodify ili ifanane na mazingira ya hapa Bongo, na kingine kuindeleza ili iendane na wakati.

  Unajua nini, ni bora iwepo hivi sasa ili watu waanze kuzoea kidogo kidogo, hata kama haitakidhi mahitaji kwa 100%, kama walivyokwisha sema, ni bora nusu kibaba...
  Na kwa uelewa wangu mdogo, hakutakuwa na data protection itakayo kidhi mambo ya wananchi wake kwa 100% anyway. So lets just roll it out, its high time!

  Najua kama tunasubiria kutengemaa kwa ICT nyumbani ili ndiyo tuwe data protection act, tukifanya hivyo tutasubiri milele....


  SteveD.
   
 10. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante Steve,asante Mgayasida kwa maoni yako murua. Kwa kweli hatuhitaji kusubiri kwani madhara yameshatupata na tunaendelea kuyapata,kama sijasahau sana, kuna mwaka website yetu ya www.bunge.go.tz illibwa na bwana mmoja huko kanada ikatumika kuoneshea picha za ngono. Shukrani wataalamu walifanikiwa kuipata lakini kisheria ilikuwa vigumu sana kumshitaki yule mtu hata kama tungempata tungemshtaki kwa kosa gani? definition ya wizi katika kanuni yetu ya adhabu penal code cap.16 haielezi chochote kuhusu cyber crimes and cybersquatting or hijacking, na wala haisemi whether internet ni property capable of being stolen.Kwa hiyo tukaamua kumuacha tu. Sauper naye akaja akatengeneza mapanki yake kaondoka tukalalama weee wmisho wa siku tutamwacha alivyo.
  Bwana steve una information zako binafsi nyingii online,nikizitumiam vibaya sijui utafanyaje hata kama utanijua ndio mimi?na nyingie tena umevolunteer mwenyewe kuzitoa. Kwa hiyo kwa hali ya sasa sheria haiwabani sana ISP's na data holders mablimbali juu ya kutunza siri ya hizo data na hata namna ya kuhost hizo web na internet kwa ujumla,lakini huku ulaya walau kuna regulation nyingi sana za mambo hayo.
  Anyway tanzania tumeanza kwa kurekebisha sheria ya ushahidi na kuruhusu ushahidi wa kielectroniki kutolewa mahakamani,lakini tatizo linakuja haya mambo ya juxtapositioning,sijui unathibitisha vipi picha mbili zilizoungwa na kufanywa moja kwamba zilikuwa tofauti.
   
 11. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ndugu Augustoons, mawaidha yenye kuthaminiwa hayo ndugu. Ahsante.

  Kuhusu data zangu, naomba uniandikie kwenye: steved at jambofourums dot com, au ni PM. Ili kama kunasehemu ya kurekebisha nifanye hivyo. Shukrani.

  SteveD.
   
Loading...