Recent content by mgawe

  1. mgawe

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ilembula eneo lote Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mgawe

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Ilembula kuna shida gani? Umeme unakatika karibu kila siku na bila maelezo yoyote, hali hii hamuoni km ina athari kubwa kiuchumi? Pia maeneo mengine umeme unapokatwa, taarifa hutolewa mapema, je kwa Ilembula sio jambo la muhimu? Au tusubiri ziara ya rais ndio tuje tutoe malalamiko yetu...
  3. mgawe

    Kumekuwa na ongezeko la wanaojifungua kwa upasuaji, nini tatizo?

    Tofauti na zamani, siku hz vifo vya wazazi na watoto wachanga vimepungua, na sababu mojawapo ni kiumarishwa kwa Huduma za upasuaji ktk vituo vyetu vya kutolea huduma, na takwimu zipo, aidha Hakuna mama anajichagulia afanyiwe upasuaji bila sababu za msingi. Km kuna may amefanya tafiti...
  4. mgawe

    Waziri Mpango aiomba Benki ya Dunia mkopo wa Dola 150 milioni za Marekani ili kuchochea ukuaji wa uchumi

    Wakibana matumizi ya kununua madiwani, wabunge na kuacha kurudia chaguzi bila sababu za msingi hakutakua na haja ya mkopo, na hata wakikopa km trend ni hii hii, hata kulipa tutashindwa.
  5. mgawe

    IGP Sirro: Polisi haitumikii siasa

    Hivi polisi wa Tz wanapata faida gani kwa kuukandamiza upinzani? Wanai support CCM kwa sababu maisha yao ni mazuri na hawahitaji mabadiliko au ni nini? Kwa nn wasitende haki tu? Imagine unaua raia mwenzio afu unarudi nyumbani na amani kisa CCM, kweli?
  6. mgawe

    Rais Magufuli anajisikiaje anapoona Wabunge wa Upinzani wakiteseka?

    Tafakari!, mtu wa Mungu, mzalendo, mtetezi wa wanyonge
  7. mgawe

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Haya majamaa yana IQ ndogo sana, wamesahau km Polepole alihojiwa na majibu aliyotoa! Au polepole hakulijua hilo!
  8. mgawe

    J.Muro ana ushawishi kiasi gani?

    Si kwamba anawakosesha watu usingizi isipokua inasikitisha kwa mtu ambaye ana credibility km yeye kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri hasa kwenye mambo ya msingi, I was real trusting him sasa nimemfuta. Nb mm si CHADEMA lkn kwenye issue za msingi we have to stand as a country.
  9. mgawe

    RC Gambo ndani ya sakata la rushwa Arusha

    Jenga hoja
  10. mgawe

    Jerry Muro: Utoto huu wa mbunge Nassari na Lema, Watanzania tuwe wakali. Tutapoteza taifa

    Picha na sauti viko very clea,labda zungumza jambo lingine, pia angalia kiwango cha simu yako
  11. mgawe

    DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

    Du! Hongera Dc, mchamgo wa harusi ndo unamuahidi na kazi? na kwamba m 2 haitoshi uko tayari kuongeza akikuandikia barua? Kwa nn unakua km mtoto? You better resign kujenga heshima ili kumjengea present heahima.
  12. mgawe

    Morogoro: Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali(CHADEMA) akamatwa na Polisi

    This is the only Tanzania police can do effectively
  13. mgawe

    Tume ya Uchaguzi Kenya yadai server ya matokeo iko Ulaya! Tume inataka kuficha nini?

    Hata hivyo Kenya wako Democratic, kwa bongo ni impossible even to that stage. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mgawe

    Watu waliofanikiwa baada ya umri wa miaka 45

    Ni kweli but Mara nyingi studies huwa zinaangalia percentage, yaani waliofanikiwa at 45 against wasiofanikiwa,so msibeze na you have to work hard kabla ya huo umri,kwanza hata kwa akili ya kawaida jinsi umri unavosonga ndo majority performance yetu inapungua na huo ndo ukweli
Back
Top Bottom