Recent content by Mganji

  1. Mganji

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Ukiangali no. 5 c (iii) utaona Dodoma inastahili kuwa jiji
  2. Mganji

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Town planning act No.8 2007
  3. Mganji

    JamiiForums Tanzania Lowassa anahudhuria mkutano mkuu wa CHADEMA kama nani?

    Kama ronaldo
  4. Mganji

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakimbilia kununua smartphone za Tigo, soma hapa ili usije kulia baadae!

    We mtu wewe mbona unaudanganya umma kweupe hivi? Hapa nilipo natumia tecno H6! Nmenunua tgo shop mliman city 180, 000 za promo na nmeweka line ya voda na tgo bila kuflash! Sio siri umewakosea watanzania pakubwa sana ebu watake radhi haraka sana.
  5. Mganji

    JamiiForums Tanzania Pinda, Werema waomba kujiuzulu. JK kuamua hatima saa moja usiku leo

    Huyu huyu Pinda ninaemfahamu mimi.
  6. Mganji

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole live Channel ten

    Mtu akiwa na uwezo wa kuchambua mambo vizuri na mkaelewa mnakimbilia kusema ni chadema! Ebu punguzeni kuwapa sifa chadema bwana
  7. Mganji

    JamiiForums Tanzania Viongozi na wanachama wa ACT ni wastaarabu kuliko wa chadema

    ACT ni kama coast union yaTanga
  8. Mganji

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Ubungo na wenzake watimkia ACT

    Kwani tatizo nini? Chadema kama daladala akitoka mtu anaingia mtu.
  9. Mganji

    JamiiForums Tanzania Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

    Ccm at work!
  10. Mganji

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya kama kijiji

    andreakalima, Moyo ukizidi kukuuma sana nenda kawambie serikali wabatilishe uteuzi ili tuendelee kuishi kama zamani kwani sie hatukuomba tuwe jiji ila ilitokea automatically kutokana na kukidhi vigezo kama idadi ya watu ambao wako takribani Mil 2.5, Shughuli za kiuchumi hususani kilimo...
  11. Mganji

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Kwani Mungu ni dini?
  12. Mganji

    JamiiForums Tanzania UKAWA wadaiwa kurudi bungeni na kusaini posho!

    Sio wote waliobaki bungeni ni ccm damu vilevile sio wote waliotoka nje ya bunge ni ukawa wengine ni vibaraka tu wa ccm (------------) chezea siasa wewe
  13. Mganji

    JamiiForums Tanzania Prof Mahalu yuko wapi?

    Sasa mahalu ana matatizo gan?
  14. Mganji

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Mtoto acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe! Ni mbunge mmoja amesikika akihitimisha akitilia mkazo uwepo wa serikali mbili! Ni full burudani
  15. Mganji

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio kauli za mh.SUGU

    Kwa wale wanaohoji uhalali wa takwimu" Sugu anakwambia kufanya test ya ngoma au malaria haihita uchukue damu lita tano
Back
Top Bottom