Humphrey Polepole live Channel ten

Humphrey Polepole live Channel ten

Huyu Polepole ana akili Sana. Nimemsikiliza. Hofu yangu asijepewa vijihela akatekwa Na nyinyiem!
 
huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa

Mtu akiwa na uwezo wa kuchambua mambo vizuri na mkaelewa mnakimbilia kusema ni chadema! Ebu punguzeni kuwapa sifa chadema bwana
 
MGANJI nahisi wanaamini kila mwenye uwezo mzur ni chadema,sio kweli kwanza mtu kama huyo mpe stahiki yake then usimchgulie chama
 
Back
Top Bottom