Lowassa anahudhuria mkutano mkuu wa CHADEMA kama nani?

mpenda1961

Senior Member
Apr 2, 2013
123
78
Katiba ya Chadema katika kifungu 7.7.14 imetaja wajumbe wa mkutano mkuu, hakuna sehemu imetaja wanachama wa kawaida kuhudhuria au wagombea urais kuhudhuria

Katiba ya Chadema kifungu 7.7.14 imewataja. hiyo hapo chini

7.7.14 Wajumbe wa Kamati Kuu watakuwa:-
(a) Mwenyekiti waTaifa
(b) Makamu Mwenyekiti Bara.
(c) Makamu Mwenyekiti Zanzibar
(d) Katibu Mkuu

(e) Naibu Katibu Mkuu Bara
(f) Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
(g) Wawakilishi watano wa Wabunge wa Bunge la Muungano.
(h) Wajumbe watatu toka Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
(i) Wajumbe nane waliochaguliwa na Baraza Kuu kuingia Kamati
Kuu kwa uwiano wa nusu kwa nusu wanaume na wanawake na
mjumbe mmoja kutoka kila kundi atoke Zanzibar.
(j) Wawakilishi watano wa madiwani wa chama, wawili wakiwa
madiwani wa kawaida na watatu wawe Wenyeviti wa
Halmashauri zinazoongozwa na Chama. Wajumbe hawa
watachaguliwa na umoja wa madiwani wa Chadema.
(k) Wenyeviti wa Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee ngazi
ya Taifa.
(l) Wajumbe wateule wasiozidi sita watakaoteuliwa na Mwenyekiti
Taifa kwa kushauriana na Katibu Mkuu na kuthibitishwa na
Baraza Kuu. Angalau wawili wawe wanawake.
(m) Wenyeviti Wastaafu wa Chadema.
(n) Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni au Waziri Mkuu
atokanaye na Chadema.
(o) Kiongozi wa kambi ya upinzani au Waziri Kiongozi kwenye
Baraza la Wawakilishi atokanaye na Chadema.
(p) Rais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya Chadema.
(q) Rais wa Zanzibar atokanaye na Chadema
(r) Spika wa Bunge na Spika wa Baraza la Wawakilishi watokanao
na Chadema.
(s) Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini atakuwa mjumbe asiye na
kura.
(t) Wakurugenzi wa kurugenzi za chama watakuwa wajumbe wasio
na kura.
...........................

Sasa Lowassa anahudhuria kama nani, mgeni mwalikwa? (kama ni hivyo aruhusiwi kukaa meza kuu)

Katiba inabakwa
 
Umetumwa siyo bure ninavyokujua Na akili zako zile hizo data hapo juu umepewa siyo bure. Impacts ya Lowassa kamuulize waziri wako wa propaganda Nape Moses Nauye.
 
katiba ya Chadema katika kifungu 7.7.14
imetaja wajumbe wa mkutano mkuu, hakuna sehemu imetaja wanachama wa kawaida kuhudhuria au wagombea urais kuhudhuria

katiba ya Chadema kifungu 7.7.14 imewataja. hiyo hapo chini

7.7.14 Wajumbe wa Kamati Kuu watakuwa:-
(a) Mwenyekiti waTaifa
(b) Makamu Mwenyekiti Bara.
(c) Makamu Mwenyekiti Zanzibar
(d) Katibu Mkuu

(e) Naibu Katibu Mkuu Bara
(f) Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
(g) Wawakilishi watano wa Wabunge wa Bunge la Muungano.
(h) Wajumbe watatu toka Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
(i) Wajumbe nane waliochaguliwa na Baraza Kuu kuingia Kamati
Kuu kwa uwiano wa nusu kwa nusu wanaume na wanawake na
mjumbe mmoja kutoka kila kundi atoke Zanzibar.
(j) Wawakilishi watano wa madiwani wa chama, wawili wakiwa
madiwani wa kawaida na watatu wawe Wenyeviti wa
Halmashauri zinazoongozwa na Chama. Wajumbe hawa
watachaguliwa na umoja wa madiwani wa Chadema.
(k) Wenyeviti wa Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee ngazi
ya Taifa.
(l) Wajumbe wateule wasiozidi sita watakaoteuliwa na Mwenyekiti
Taifa kwa kushauriana na Katibu Mkuu na kuthibitishwa na
Baraza Kuu. Angalau wawili wawe wanawake.
(m) Wenyeviti Wastaafu wa Chadema.
(n) Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni au Waziri Mkuu
atokanaye na Chadema.
(o) Kiongozi wa kambi ya upinzani au Waziri Kiongozi kwenye
Baraza la Wawakilishi atokanaye na Chadema.
(p) Rais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya Chadema.
(q) Rais wa Zanzibar atokanaye na Chadema
(r) Spika wa Bunge na Spika wa Baraza la Wawakilishi watokanao
na Chadema.
(s) Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini atakuwa mjumbe asiye na
kura.
(t) Wakurugenzi wa kurugenzi za chama watakuwa wajumbe wasio
na kura.
...........................

sasa Lowassa anahudhuria kama nani?
#mgenimwalikwa? (kama ni hivyo aruhusiwi kukaa meza kuu)

katiba inabakwa
Any thing money can bring.Mwenye pesa sio mwenzako.
 
7.7.14 kifungu kidogo cha i au l umeaona au umekurupuka?unawajua wateule wa mwenyekiti?au waliochaguliwa na baraza kuu?

hao wajumbe sita walishachaguliwa 2014 na walitangazwa na Dr Slaa alipokuwa katibu mkuu. Lowassa hakuwa kati ya hao sita
hoja nyingine plz
 
Back
Top Bottom