Hizi ndio kauli za mh.SUGU

Hizi ndio kauli za mh.SUGU

Toka apigane Bungeni nilishamuondoa kwenye grupu la watu wenye akili...

Mwigulu.jpg
 
prof Tibaijuka + Dr. mwakiembe + kikwete + Dr. Rose + Lukuvi + werema + mwigulu + Prof magembe < Kamanda Sugu
 
Nyingine aliyosema,"Wanaobeza takwimu za tume kuwa waliotoa maoni ni wachache,,kupima malaria au UKIMWI inahitaji uende na dumu la lita tano za damu?"
 
To be honest! Sugu my MP, umenena yale yalostahili kunenwa na mtu anaejua kilichompeleka Dodoma kwa ajili ya Katiba.

Mbeya na wanambeya tu pamoja nawe! Never give up
 
ameongea ukwel, mtupu, wabunge wa sisi cyo m, walkuwa na msimamo mzur hapo mwanzo b4 hotuba ya mwenye nyumba, lkn baada ya hapo, wabunge hao wanafata hutuba ya jamaa, na wengne kukaa kmya
 
Back
Top Bottom