Badala watu mjikite kujadili mambo yenye maana kwa ajili ya mustakabali wa maisha ya kizazi cha sasa na cha baadae mnaanza kujadili mambo ambayo hayapo na hayawezi kuwepo
Shwain
Ndugwayi ambae hakukimbia Jimbo mbona wanafunzi jimboni kwake wanakaa chini hataki hata picha zirushwe vyoo hakuna shwaaain!!
Mnapiga bomu monchwari mnajisifu mmeua
Tulieni hivo hivo dawa iwaingie maana naona mmeanza kutembeza bakuri la msikitini kanisani kana kwamba mmetumwa
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo...
Wanateseka saana demokrasia wao imewashinda wanaionea wivu CDM
Eti 32 kwa 1 hata aibu hakuna hahahahaha acha iwaue wenyewe
#we are more than strong [emoji123]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.