Recent content by mgadafi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serukamba aliwahi kuomba uraia wa Tanzania au aliidanganya kuwa ni mtanzania

    kama mama yake yupo ilikuwaje akachangia ziwa moja na zitto kabwe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Scrap metal! Mv liemba 99 yrs old today, too dangerous to serve the public!

    mheshimiwa chilisos naomba nikuulize umeipanda lyemba mara ngapi na vp umegunduwa kama imechoka au kuzeeka sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania abiria wa precision wanusurika kifo kgm

    lakini uwanja wa kgm upo unapanuliwa na kuwekewa lami kwenye run way
  4. M

    JamiiForums Tanzania abiria wa precision wanusurika kifo kgm

    kuna habari pricion air imeshindwa kuruka baada kupasuka matyre na kuacha run way hakuna alieumia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndege za Abiria zakatisha anga la Libya baada ya kifo cha dikteta Gaddafi

    sawa nia yako ilikuwa ni kutufahamisha kama umepanda ndege hongera
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 1003 sasa tangu afariki mtaalumu wa fizikia ya hesabu

    binafsi sishangai wakristo wa tanzania kujifanya hawatambui mishango ya kielimu ya waislam hata america alianza kupambana na wazungu dhidi ya ubaguzi na kudai uhuru wa watu weusi alikuwa MALCOM X lakini kwakuwa alikuwa mwislam kafunikwa then tunapewa martin luthaking inakuja kweli ii
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mlinzi anachek tv kwny rendo

    kama sikosei mleta mada ni muha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mh Mbunge Ahmed Shabiby ni mkwepa kodi!

    dua la kuku jipange vizuri tena ubane makalio hasa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma ni cha nani?

    ni cha brown yule anaetetea muswaada wa kanisa wanaume kwa wanaume waowane
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majambazi sugu wauawa

    habari na hoja mchanganyiko elewa ulipo
  11. M

    JamiiForums Tanzania SMS za uwongo juu ya mionzi ipitayo leo usiku (Cosmos Rays Hoax)

    Hoax Alert: Cosmic Rays from Mars Entering Earth « Journey to the Stars
  12. M

    JamiiForums Tanzania SMS za uwongo juu ya mionzi ipitayo leo usiku (Cosmos Rays Hoax)

    sijui nilikuwa nimelala
  13. M

    JamiiForums Tanzania SMS za uwongo juu ya mionzi ipitayo leo usiku (Cosmos Rays Hoax)

    yaseer kwa nini usiingie google ukapata ukweli
  14. M

    JamiiForums Tanzania SMS za uwongo juu ya mionzi ipitayo leo usiku (Cosmos Rays Hoax)

    habari inaonesha tarehe 7 leo 19
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada:Vita ya dunia

    kaaazi kweli kweli
Back
Top Bottom