abiria wa precision wanusurika kifo kgm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

abiria wa precision wanusurika kifo kgm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgadafi, Jul 24, 2012.

 1. m

  mgadafi Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna habari pricion air imeshindwa kuruka baada kupasuka matyre na kuacha run way hakuna alieumia
   
 2. M

  Mundu JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kuna habari ndege ya Precision imeshindwa kuruka baada ya kupasuka matairi na kuacha njia, ila hakuna aliyeumia!!
   
 3. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  mkuu lete habari kwa kina na sio nusu nusu. Hapa ni great thinkers only
   
 4. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni trailer tu,movie bado.
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Tairi la ndege kupasuka?!, hizi ajari za ndege kigoma nadhani sasa tatizo ni kigoma.
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Uwanja wa Kigoma ni mbovu sana.
   
 7. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Duh, sasa kwetu nini salama, magari, treni, meli kila siki ajari
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  umesahau na bodaboda za mchina.
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  Zile kokoto na changarawe ni hatari sana....hivi tunashindwa kuweka 5kms tu za lami ya run way kweli kila mkoa?tunaweza nini?kufungasha misafara mirefu kwenda ulaya kupewa suti??
   
 10. m

  mgadafi Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lakini uwanja wa kgm upo unapanuliwa na kuwekewa lami kwenye run way
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwa wanaojua, implication ya statement ya FJM hapo juu ni kubwa sana.
  Maana ya FJM ni kwamba kupasuka kwa matairi ya hiyo ndege kumesababishwa na hali ya runway, ambapo kuna hatari ya kufunga kiwanja hicho hadi hapo kitakaporekebishwa. Lakini pia hasara iliyopatikana leo kwa tukio hil inaweza kuwa shifted kwa mmiliki wa kiwanja hicho.
  Tusubiri INvestigation za kitaalam zitakazofanyika na uzuri sababu zitawekwa wazi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wala siyo 5km! Kiwanja cha ndege chenye runway ndefu kuliko vyote nchini ni KIA, ambapo ni hiyo 5km, na haitumiki wholly. Kiwanja cha Kigoma kinahitaji km 2 tu za ruway ya lami.
   
Loading...