Watu wasioitaikia amani nchi yetu wana njia nyingi za kutumia, wakiona plan A imeshindwa wanakuja na plan B
ambayo ndio hii ya kutaifisha mali za watu wanazomiliki kihalali
Haya mambo yakukomboa nchi za watu ni kujitafutia matatizo, tumeikomboa znz, wazanzibari mpaka leo wanatuona wabara ni chanzo cha kuharibu nchi yao na maendeleo, tumeikomboa Msumbiji, leo hii wa tz wanafukuzwa kule kama mbwa wanaonekana ni wezi tu, tueikomboa South Africa, nimetoka karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.