Kuna hili tatizo la mlundikano wa wafungwa magerezani, hasa wale wenye vifungo vidogo ( miaka mitatu kushuka chini) Serikali iwezeshe idara ya vifungo vya nje,...kwa kuongeza wafanyakazi na vitendea kazi.
Hakuna sababu ya kuendelea kuwa na miji michafu, wakati watu wakufanya usafi wamejazana...
Kuna siku nilienda kumtembelea boyfriend, sasa mda natoka kwake yeye akawa yuko kama hatua kumi mbele yangu mimi nilikuwa na mdada wa saluni nachukua namba za simu kuna rasta nataka nimwagize.
Sasa ile namaliza kuchukua namba mbele kulikuwa na mijibaba kibao kwenye Grocery inamshangaa hatari...
Ni Yesu tu mkuu, anayeweza kukutoa huko, Hata mimi nilikuwa kama wewe, ila baada ya kulikili jina la Yesu kwamba ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu... Kila kitu kimebadilika katika maisha yangu.
Mkuu kupachika mimba ni staili za kizamani, kwani akiwa na mtoto ndio utamfunga awe wa kwako? Kama ataweza kukusubiri for 2 years huyo anakupenda kwa dhati. Mwanamke asiye na mipango na maisha ni wakuogopa kama ukoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.